-
Akhlaqi Katika Uislamu (46)
Nov 28, 2022 04:58Amani ya Allah, rehma na baraka zake ziwe juu yako mpendwa msikilizaji popote pale ulipo wakati huu. Nakukaribisha kusikiliza sehemu hii ya 46 ya kipindi cha Akhlaqi Katika Uislamu nikiwa na matumaini kuwa, mimi pamoja na wewe tutanufaika na yale tutakayoyasikia katika kipindi hiki ambacho kwa leo kitaendelea kuzungumzia na kuchambua "Akhlaqi za Kisiasa" katika Uislamu. Endelea kuwa nami basi hadi tamati ya mazungumzo yetu.
-
Imam Jaafar Sadiq AS alisisitiza umoja wa Waislamu
Oct 13, 2022 16:33Imam Ja'far Swadiq AS mjukuu wa Mtume Mtukufu SAW alizaliwa mwaka 83 Hijria katika mji mtakatifu wa Madina na kulelewa na baba yake mtukufu Imam Muhammad Baqir AS pamoja na mama yake mtoharifu.
-
Mtume Muhammad SAW alileta uhai mpya
Oct 13, 2022 16:31Waislamu duniani wanasherehekea Maulidi na kukumbuka tukio la kuzaliwa Mbora wa Walimwengu, Muhammad Mwaminifu SAW. Ni fusa muafaka ya kutafakari kuhusu umoja wa Waislamu duniani.
-
Wiki ya Umoja na Maulidi ya Mtume (saw)
Oct 10, 2022 07:44Siku hizi za mwezi wa Mfunguo Sita Rabiu Awwal ni fursa adhimu kwa Waislamu kote duniani kupitia tena Aya zinazohusiana na umoja na mshikamano wa Waislamu katika Qur'ani Tukufu na Hadithi za Mtume wetu Muhammad (saw) ambaye kwa mujibu wa riwaya na mapokezi mawili tofauti ya wanazuoni na wanahistoria, alizaliwa ama tarehe 12 au 17 ya mwezi huu.
-
Alkhamisi tarehe 29 Septemba 2022
Sep 29, 2022 02:29Leo ni Alkhamisi tarehe Pili Rabiul Awwal 1444 Hijria sawa na tarehe 29 Septemba 2022.
-
Jumatatu tarehe 25 Oktoba 2021
Oct 25, 2021 02:30Leo ni Jumatatu tarehe 18 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1443 Hjria sawa na Oktoba 25 mwaka 2021.
-
Jumanne tarehe 5 Oktoba 2021
Oct 05, 2021 02:18Leo ni Jumanne tarehe 28 Safar 1443 Hijria inayosadifiana na tarehe 5 Oktoba 2021.
-
Alkhamisi tarehe 16 Septemba 2021
Sep 16, 2021 02:22Leo ni Alkhamisi tarehe 9 Safar 1443 Hijria sawa na Septemba 16 mwaka 2021.
-
Alkhamisi tarehe 29 Julai 2021
Jul 29, 2021 02:19Leo ni Alkhamisi tarehe 18 Mfunguo Tatu Dhulhija 1442 Hijria inayosadifiana na tarehe 29 Julai 2021.
-
Kifo cha Bibi Khadija (as), mke mwema na kipenzi cha Mtume Muhammad (saw)
Apr 24, 2021 09:37Siku hiyo maradhi yalimzidia Bibi Khadija binti Khuwailid. Alikuwa akitafakari kuhusu njia ndefu iliyokuwa mbele yake.