• Ruwaza Njema (11)

    Ruwaza Njema (11)

    Feb 06, 2019 14:17

    Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza sehemu ya 11 ya kipindi hiki cha Ruwaza Njema ambapo kwa leo tutazungumzia sifa njema ya Mtume Mtukufu (saw) ambaye ni mbora wa viumbe, ya kusamehe watu na kuwaongoza kwenye heri kuu, hata tunapokuwa na uwezo wa kulipiza kisasi kwa mabaya waliyotufanyia.

  • Ruwaza Njema (9)

    Ruwaza Njema (9)

    Jan 30, 2019 08:33

    Assalaam Alaykum. Ni siku nyingine ambayo tumejaaliwa kukutana nanyi tena wapenzi wasikilizaji katika kipindi hiki cha Ruwaza Njema ambapo kwa leo tutazungumzia tabia nyingine njema ya mbora wa viumbe, Mtume Mtukufu (saw) kuhusiana na jinsi ya kuamiliana vyema na Watu wa Kitabu yaani Wakristo wanaoishi katika kivuli cha serikali adilifu na inayofuata mafundisho ya Mwenyezi Mungu na namna alivyokuwa akifanya ibada zake, hivyo kuweni nasi hadi mwisho wa kipindi.

  • Kuchomoza Nuru ya Uongofu; Maadhimisho ya Uzawa wa Bwana Mtume Muhammad SAW

    Kuchomoza Nuru ya Uongofu; Maadhimisho ya Uzawa wa Bwana Mtume Muhammad SAW

    Nov 24, 2018 07:27

    Assalamu Alaykum Warahamtullahi Wabarakatuh. Wasikilizaji wapenzi, tungali tumo kwenye masiku ya kuadhimisha Maulidi, yaani uzawa wa shakhsia wa kustaajabisha katika historia na zama, ambaye alipambika kwa sifa bora za akhlaqi, zilizowavutia watu na kuwajenga kiutu.

  • Jumanne 20 Novemba 2018

    Jumanne 20 Novemba 2018

    Nov 20, 2018 03:41

    leo ni Jumanne 12 Rabiul Awwal 1440 Hijria sawa na tarehe 20 Novemba 2018.

  • Jumapili Novemba 18

    Jumapili Novemba 18

    Nov 18, 2018 02:46

    Leo ni Jumapili tarehe 10 Mfungo Sita Rabiul-Awwal 1440 Hijiria, sawa na tarehe 18 Novemba 2018 Miladia.

  • Khadija al-Kubra; johari inayong’ara katika nyumba ya Bwana Mtume SAW

    Khadija al-Kubra; johari inayong’ara katika nyumba ya Bwana Mtume SAW

    Nov 17, 2018 12:57

    Assalamu alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kukumbusha siku ya kufunga ndoa Bwana Mtume SAW na Bibi Khadija binti Khuwaylid AS.

  • Adhama ya Maulidi (Kuzaliwa) ya Mtume Muhammad SAW

    Adhama ya Maulidi (Kuzaliwa) ya Mtume Muhammad SAW

    Nov 13, 2018 08:46

    Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Kama mnavyojua, tumo ndani ya Mfunguo Sita, mwezi ambao alizaliwa Bwana wetu Muhammad SAW. Leo katika dakika hizi chache, tutazungumzia adhama ya kuzaliwa mtukufu huyo tukiwa na matumaini mtakuwa nasi hadi mwisho wa maelezo haya mafupi.

  • Kipindi maalumu kwa mnasaba wa kukumbuka alipofariki dunia Mtume (saw) + Kasida

    Kipindi maalumu kwa mnasaba wa kukumbuka alipofariki dunia Mtume (saw) + Kasida

    Nov 05, 2018 02:43

    Mtume wa Mwisho wa Mwenyezi Mungu, Muhammad (saw) aliaga dunia tarehe 28 Swafar mwaka wa 11 Hijiria katika mji mtakatifu wa Madina akiwa na umri wa miaka 63 na kuzikwa katika mji huohuo.

  • Ruwaza Njema (1)

    Ruwaza Njema (1)

    Sep 14, 2018 04:23

    (Kumfuata al-Mustafa katika kikao chake)