-
Jumanne, 12 Machi, 2024
Mar 12, 2024 02:34Leo ni Jumanne tarehe Mosi Ramadhani 1445 Hijria inayosadifiana na tarehe 12 Machi, 2024.
-
Alkhamisi, tarehe 23 Machi, 2023
Mar 23, 2023 02:12Leo ni Alkhamisi tarehe Mosi Ramadhani 1444 Hijria sawa na 23 Machi 2023.
-
Kuwa karibu na Mwenyezi Mungu
Apr 18, 2022 09:58Hamjambo wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran. Tuna furaka kukukaribisheni kusikiliza kipindi hiki maalumu ambacho tumekuandalieni kwa mnasaba wa kukaribia nyusiku tukufu na takatifu za Lailatul Qadr.
-
Ramadhani, mwezi wa fursa
Apr 11, 2022 10:56Assalaam Alaykum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Tunakukaribisheni kusikilizaji kipindi hiki maalumu ambacho tumekutayarishieni kwa mnasaba wa funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Jumapili, 3 Aprili, 2022
Apr 03, 2022 03:33Leo ni Jumapili tarehe Mosi ya mwezi mtukufu wa Ramadhani 1443 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 3 Aprili 2022.
-
Jumatano, Aprili 14, 2021
Apr 14, 2021 02:21Leo ni Jumatano tarehe Mosi Ramadhani 1442 Hijria sawa na tarehe 14 Aprili mwaka 2021.
-
Mwaliko wa Ramadhani
May 28, 2018 12:14Waashiki wa Qur'ani Tukufu hukikaribia zaidi kitabu hiki cha mbinguni katika mwezi huu mtukufu na kuzipa nyoyo zao msisimuko na uhai mpya kwa kusoma, kujifunza na kudiriki maarifa yake.
-
Mwaliko wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
May 20, 2018 12:50Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran. Karibuni nyote tusikilize kwa pamoja kipindi hiki maalumu ambacho tumekutayarishieni kwa ajili ya mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
-
Alkhamisi, Mei 17, 2018
May 17, 2018 04:21Leo ni Alhamisi tarehe Mosi Ramadhani 1439 Hijiria, inayosadifiana na tarehe 17 Mei 2018 Miladia.
-
Ramadhani na Utulivu wa Moyo
Jun 01, 2017 10:31Assalam Aleikum na karibuni katika makala hii maalumu inayowajieni katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ambapo leo tutaangazia masuala ya utulivu wa moyo wa mwandamu.