-
Ijumaa, tarehe 8 Agosti, 2025
Aug 08, 2025 03:41Leo ni Ijuamaa tarehe 14 Mfunguo Tano Safar 1447 Hijria inayosadifiana na tarehe 8 Agosti 2025.
-
Alkhamisi, tarehe 17 Aprili, 2025
Apr 17, 2025 04:08Leo ni Alkhamisi tarehe 18 Shawwal 1446 Hijria sawa na Aprili 17 mwaka 2025.
-
Alkhamisi, Aprili 10, 2025
Apr 10, 2025 02:47Leo ni Alkhamisi tarehe 11 Mfunguo Mosi Shawwal 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 10 Aprili 2025 Milaadia.
-
Jumamosi, Mosi Februari, 2025
Feb 01, 2025 02:32Leo ni Jumamosi Pili Shaaban 1446 Hijria mwafaka na Mosi Februari 2025 Miladia.
-
Alkhamisi, tarehe 8 Agosti, 2024
Aug 08, 2024 02:24Leo ni Alkhamisi tarehe 3 Mfunguo Tano Safar 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 8 Agosti 2024.
-
Jumatano, tarehe 17 Aprili, 2024
Apr 17, 2024 02:47Leo ni Jumatano tarehe 8 Shawwal 1445 Hijria sawa na Aprili 17 mwaka 2024.
-
Jumatatu, tarehe 17 Aprili, 2023
Apr 17, 2023 01:10Leo ni Jumatatu tarehe 26 Ramadhani 1444 Hijria sawa na tarehe 17 Apririi 2023.
-
Njia ya fikra ya Shahidi Qassem Soleimani: Mhimili wa Muqawama na Mapambano
Jan 03, 2023 09:17Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo, na karibuni kuwa nasi tena katika mfululizo mwingine wa kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya mwaka wa tatu wa kuuawa shahidi Luteni Jenerali Shahidi Qassem Soleimani, ambapo katika mfululizo huu wa tatu tutatalii moja ya vipindi maalumu vya maisha ya kamanda huyo.
-
Jumapili, 13 Novemba, 2022
Nov 13, 2022 02:21Leo ni Jumapili tarehe 18 Mfunguo Saba Rabiu Thani 1444 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 13 Novemba 2022 Miladia.
-
Jumapili, tarehe 17 Aprili, 2022
Apr 17, 2022 02:21Leo ni Jumapili tarehe 15 Ramadhani 1443 Hijria sawa na Aprili 17 mwaka 2022.