-
Wiki ya Umoja wa Kiislamu-3: Fursa ya Kuimarisha Mazingira ya Kupatikana Umoja Katika Ulimwengu wa Kiislamu
Nov 11, 2019 07:58Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji. Karibuni kusikiliza kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kuadhimisha Wiki ya Umoja, sambamba na kusherehekea kuzaliwa mbora wa viumbe Bwana Mtume Muhammad SAW. Endeleeni kuwa nami basi hadi tamati ya kipindi kutegea sikio yale niliyokuandalieni kwa leo.
-
Wiki ya Umoja wa Kiislamu-2 (Ruwaza Njema)
Nov 11, 2019 07:56Alipozaliwa alipewa jina la Muhammad lenye maana ya msifiwa. Jina hili hakuwahi kupewa kiumbe mwingine kabla yake yeye. Jina hilo, kama alivyokuwa yeye mwenyewe, liliteuliwa na Mwenyezi Mungu Muweza na lilitajwa katika vitabu vya Mitume waliotangua.
-
Wiki ya Umoja wa Kiislamu-1 (Mtindo wa Maisha ya Mtume SAW Katika Familia)
Nov 09, 2019 07:16Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizajii popote pale mlipo. Tumo katika siku tukufu za sherehe za kuadhimisha maulidi na kuzaliwa Mtume Muhammad (saw).
-
Maneno na Sira ya Mtume Mtukufu SAW; mwongozo wa umoja wa ulimwengu wa Kiislamu
Dec 05, 2018 10:06Katika kipindi cha miaka 10 aliyoishi katika mji mtakatifu wa Madina, Mtume Mtukufu SAW alikuwa mfano unaong'ara na usio na mfano wake wa kuimarisha umoja na udugu wa Kiislamu katika jamii ya Kiislamu.
-
Wiki ya Umoja: Uislamu unaoshajiisha Umoja; dharura ya leo ya ulimwengu wa Kiislamu
Nov 20, 2018 12:11Tuko katika siku tukufu za Wiki ya Umoja wa Kiislamu, ambayo ni wiki ya kuadhimishwa uzawa na maulidi ya Mtume Mtukufu Muhammad (saw).
-
Wiki ya Umoja wa Kiislamu na Ujumbe wa Mtume (saw)
Dec 05, 2017 11:57Tumo katika kipindi cha Wiki ya Umoja wa Kiislamu.
-
Umoja kwa mtazamo wa Imam Khomeini na Kiongozi Muadhamu
Dec 04, 2017 17:02Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kumbukumbu na maadhimisho ya Wiki ya Umoja.
-
Kipindi maalumu cha Milaad an-Nabi SAW
Dec 04, 2017 12:03Hizi ni siku za kusherehekea uzawa wa Bwana Mtume Muhammad al-Mustafa (saw). Huku tukikupeni mkono wa pongezi, fanaka na heri kwa mnasaba wa kuwadia siku hizi adhimu na za furaha kubwa, tunakuombeni mujiunge nasi ili tupate kusikiliza kwa pamoja kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba huu, karibuni.
-
Aal Saud; Mzusha Mifarakano na Kizuizi cha Umoja Katika Ulimwengu wa Kiislamu
Dec 04, 2017 09:53Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo. Karibuni kusikiliza kipindi maalumu nilichokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Wiki ya Umoja wa Kiislamu ambacho maudhui yake inasema: "Aal Saud, mzusha mifarakano na kizuizi cha umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu". Endeleeni basi kunitegea sikio kuanzia awali hadi tamati ya kipindi hiki.
-
Ijumaa tarehe Mosi Disemba, 2017
Dec 02, 2017 09:10Leo ni Ijumaa tarehe 12 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1439 Hijria sawa na Disemba Mosi, 2017.