Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Matunda ya Mapinduzi ya Kiislamu

  • Ayatullah Khamenei: Marekani haiwezi kufanya chochote kuhusu mradi wetu wa nyuklia

    Ayatullah Khamenei: Marekani haiwezi kufanya chochote kuhusu mradi wetu wa nyuklia

    Jun 04, 2025 07:07

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema urutubishaji wa urani ndio ufunguo wa suala la nyuklia la Iran, akipuuzilia mbali pendekezo la Marekani kwa Tehran la kusimamisha kikamilifu urutubishaji wa madini hayo (ya urani).

  • Mafanikio ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran kikanda na duniani

    Mafanikio ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran kikanda na duniani

    Feb 10, 2025 02:40

    Leo Iran inaadhimisha miaka 46 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yaliyotokea mwaka 1979 chini ya uongozi wa hayati Imam Ruhullah Khomeini. Matokeo na mafanikio ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran daima yamekuwa na taathira kwa kanda ya Asia Magharibi na dunia kwa ujumla.

  • "Mapinduzi ya Kiislamu yaliathiri mapambano ya Afrika Kusini dhidi ya apartheid"

    Feb 05, 2025 12:18

    Mwanahabari mkongwe mjini Cape Town, Farid Sayed amesema Mapinduzi ya Kiislamu na kuasisiwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kulikuwa na athari kubwa kwa mapambano ya Afrika Kusini dhidi ya mfumo wa ubaguzi wa rangi wa apartheid.

  • Mamilioni ya Wairani waadhimisha Mapinduzi ya Kiislamu, wasema yamehuisha Umma wa Kiislamu

    Mamilioni ya Wairani waadhimisha Mapinduzi ya Kiislamu, wasema yamehuisha Umma wa Kiislamu

    Feb 11, 2024 12:13

    Mamilioni ya wananchi wa Iran walioshiriki katika maandamano ya kuadhimisha miaka 45 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini wametangaza kuwa: Mapinduzi ya Kiislamu yameibua roho mpya katika mwili wa Umma wa Kiislamu na kupanua zaidi mapambano ya kupinga dhulma na uonevu.

  • Mapinduzi ya Kiislamu, kuandaliwa mazingira ya kudhihiri Imam Mahdi (a.t.f.s)

    Mapinduzi ya Kiislamu, kuandaliwa mazingira ya kudhihiri Imam Mahdi (a.t.f.s)

    Feb 11, 2024 04:28

    Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kuadhimisha miaka 45 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yaliyotokea mwaka 1979 kwa uongozi wenye busara na hekima wa Imamu Ruhullah Khomeini (MA).

  • Mapinduzi ya Kiisamu; chimbuko la mageuzi ya kiroho na kimaanawi ya wananchi wa Iran

    Mapinduzi ya Kiisamu; chimbuko la mageuzi ya kiroho na kimaanawi ya wananchi wa Iran

    Feb 11, 2024 04:27

    Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu nyingine ya mfululizo wa vipindi hivi maalumu vinavyokujieni kwa mnasaba wa Alfajiri Kumi kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 45 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ya Iran yaliyotokea 1979

  • Msemaji wa Maulamaa wa Palestina: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yamebadilisha historia ya dunia

    Msemaji wa Maulamaa wa Palestina: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yamebadilisha historia ya dunia

    Feb 10, 2024 10:40

    Mkuu wa Baraza la Ushauri na Msemaji wa Baraza Kuu la Maulamaa wa Palestina amesema kuwa, Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran si kwa ajili ya nchi hiyo tu bali ni kwa ajili ya ulimwengu mzima kwani yamebadilisha sura ya historia ya dunia.

  • Mafanikio ya Iran katika siasa za ndani za kipindi cha miaka 45 iliyopita

    Mafanikio ya Iran katika siasa za ndani za kipindi cha miaka 45 iliyopita

    Feb 08, 2024 02:32

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imepata mafanikio makubwa katika siasa zake za ndani na nje kwenye kipindi cha miaka 45 ya Mapinduzi ya Kiislamu humu nchini.

  • Mapinduzi ya Kiislamu; chimbuko la mageuzi ya kiroho na kimaanawi ya wananchi wa Iran

    Mapinduzi ya Kiislamu; chimbuko la mageuzi ya kiroho na kimaanawi ya wananchi wa Iran

    Feb 05, 2024 06:24

    Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu nyingine ya mfululizo wa vipindi hivi maalumu vinavyokujieni kwa mnasaba wa Alfajiri Kumi kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 45 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ya Iran yaliyotokea 1979

  • Aban 13, Siku ya Taifa ya Kupambana na Uistikbari wa Kimataifa

    Aban 13, Siku ya Taifa ya Kupambana na Uistikbari wa Kimataifa

    Nov 13, 2023 11:51

    Assalamu alaykum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran popote pale mlipo hasa huko nyumbani Afrika Mashariki. Ni matumaini yangu kuwa, mubukheir wa afya na mnaendelea vyema katika kutekeleza majukumu yenu ya kila siku.

Onesha Zaidi
Habari Kuu
  • Iran yapanua diplomasia ya utalii katika mkutano wa Riyadh

    Iran yapanua diplomasia ya utalii katika mkutano wa Riyadh

    19 minutes ago
  • Minawi aonya dhidi ya kugawanyika tena Sudan

  • Magaidi watatu vinara wa al-Shabaab wauawa katika operesheni ya jeshi la Somalia

  • Qalibaf: Marekani lazima ikubali matokeo ya uchokozi wake wa wazi dhidi ya Iran

  • Afisa wa Yemen: Mtandao wa ujasusi wa Marekani, Israel na Saudi Arabia unataka kukomesha himaya ya Yemen kwa Palestina

Chaguo La Mhariri
  • Kwa nini China inakosoa hatua za Marekani huko Yemen?

    Kwa nini China inakosoa hatua za Marekani huko Yemen?

    18 minutes ago
  • Kususia Trump mkutano wa G20; sera za mashinikizo au mshikamano na Israel?

    Kususia Trump mkutano wa G20; sera za mashinikizo au mshikamano na Israel?

    14 hours ago
  • Zawadi ya dola trilioni moja kwa Musk mkabala wa njaa inayowakabili Wamarekani milioni 42; Uadilifu au mkanganyiko?

    Zawadi ya dola trilioni moja kwa Musk mkabala wa njaa inayowakabili Wamarekani milioni 42; Uadilifu au mkanganyiko?

    24 hours ago
Zilizotembelewa Zaidi
  • Watu 145 washtakiwa kwa uhaini wakidaiwa kuhusika katika maandamano ya vurugu Tanzania

  • Hizbullah ina uwezo wa kuipiga Israel kwa makombora 7,500 angamizi

  • Iran iko tayari kwa mchakato wa kuzalisha ndege za abiria ilizojibunia yenyewe

  • Afisa wa Yemen: Mtandao wa ujasusi wa Marekani, Israel na Saudi Arabia unataka kukomesha himaya ya Yemen kwa Palestina

  • Kwa nini New Delhi imekhitari sera ya kuwa karibu zaidi na Tel Aviv?

  • Ehud Barak: Utawala wa Israel umo katika hatari ya kusambaratika kabisa

  • Russia yaimarisha maandalizi ya vita ya nyuklia kufuatia maagizo ya Rais Putin

  • Ni nini takwa la Tehran baada ya Trump kukiri kuhusika Marekani katika mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran?

  • Zawadi ya dola trilioni moja kwa Musk mkabala wa njaa inayowakabili Wamarekani milioni 42; Uadilifu au mkanganyiko?

  • Rais wa Colombia amshambulia Trump: Wewe na marafiki zako ni waongo

  • Mahakama ya Uturuki yatoa waranti wa kukamatwa Netanyahu kwa kutenda jinai Gaza

Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS