-
Mapinduzi ya Kiislamu katika njia ya kuhuisha ustaarabu wa Kiislamu
Feb 07, 2021 06:55Licha ya kupitia milima na mabonde mengi, lakini kufikia sasa Jamhuri ya Kiislamu imefanikiwa kulinda nafasi na itibari yake ndani na nje ya nchi na ikiwa inaingia katika mwaka wake wa 42, imeongeza kasi yake kuelekea ustaarabu mpya wa Kiislamu.
-
Kusimama kidete Iran mbele ya vikwazo
Feb 06, 2021 07:36Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya mfululizo wa vipindi hivi maalum vinavyokujieni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya Alfajiri Kumi kuelekea kilele cha maadhimisho ya ushindi wa Mpainduzi ya Kiislamu ya Iran.
-
Imam Khomeini, Kiongozi Kipenzi
Feb 01, 2021 05:48Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi popote pale mlipo. Karibuni katika mfululizo huu wa vipindi maalumu vinavyokujieni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya Alfajiri Kumi kuelekea kilele cha maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran.
-
Rouhani: Taifa la Iran lilisambaratisha udikteta na ubeberu
Jan 30, 2021 12:20Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Taifa la Iran kwa mapambanao na muqawama limeweza kusambaratisha ubeberu."
-
Iran yalalamikia taarifa ya Ufaransa ya kumuunga mkono mhalifu aliyenyongwa
Dec 14, 2020 04:50Iran imemuita balozi wa Ufaransa mjini Tehran Philippe Thiebaud kulalamikia taarifa ya wizara ya mambo ya nje ya nchi hiyo ya Ulaya ambayo imelaani kutekelezwa hukumu ya kunyongwa Ruhullah Zam, aliyepatikana na hatia ya kusimamia mtandao uliokuwa ukiendesha propaganda chafu dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Brigedia Jenerali Dehqan: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yalitoa pigo la kihistoria dhidi ya Marekani
Sep 24, 2020 12:03Mshauri wa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Iran katika masuala ya sekta ya viwanda vya ulinzi amesema kuwa, ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yalikuwa pigo kubwa zaidi la kihistoria dhidi ya Marekani na yaliinasua nchi hii kutoka katika makucha ya ukoloni wa Magharibi.
-
Mapinduzi ya Kiislamu Katika Nadharia za Sayansi ya Jamii (4): Mapinduzi ya Kiislamu yalivyojipambanua na mapinduzi mengine makubwa duniani
Jul 14, 2020 10:13Mazungumzo yetu katika sehemu ya tatu ya kipindi hiki yaliishia pale tulipogusia mitazamo ya waandishi mbali mbali kuhusu nafasi ya dini katika Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.
-
Mapinduzi ya Kiislamu Katika Nadharia za Sayansi ya Jamii (3): Mapinduzi ya Kiislamu yalivyojipambanua na mapinduzi mengine makubwa duniani
Jul 07, 2020 09:42Nukta moja muhimu zaidi inayoyapambanua na kuyatafautisha Mapinduzi ya Kiislamu na mapinduzi mengine makubwa, ni hali ya kijiopolitiki ya Iran. Iran iko kwenye eneo la Mashariki ya Kati, ambalo kabla yake, hayajawahi kutokea Mapinduzi ya Kiislamu au mapinduzi mengine, katika nchi yoyote ile ya eneo hili.
-
Mapinduzi ya Kiislamu Katika Nadharia za Sayansi ya Jamii (2): Mapinduzi ya Kiislamu yalivyojipambanua na mapinduzi mengine makubwa duniani
Jul 06, 2020 05:54Tukiendelea na pale yalipoishia mazungumzo yetu katika kipindi kilichopita, katika kueleza sifa zinazoyapambanua na kuyatafautisha Mapinduzi ya Kiislamu na mapinduzi mengine makubwa katika namna ya kutokea kwake, sifa nyingine ya kipekee ya mapinduzi hayo inahusu uongozi wa mapinduzi yenyewe.
-
Mapinduzi ya Kiislamu Katika Nadharia za Sayansi ya Jamii (1): Mapinduzi ya Kiislamu yalivyojipambanua na mapinduzi mengine makubwa duniani
Jul 06, 2020 05:19Karne ya 20 tunaweza kuipa jina la Karne ya Mapinduzi. Mapinduzi ya mwanzo makubwa yaliyotokea katika karne hiyo yalikuwa ya Urusi ya mwaka 1917, yakafuatiwa na mengine kama mapinduzi ya China, Cuba, Iran na Nicaragua. Lakini hakuna shaka kuwa, mapinduzi muhimu zaidi na ya kipekee zaidi katika karne ya 20 yalikuwa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yaliyotokea mwaka 1979.