-
Maombolezo ya Ashura ya Imamu Hussein AS yaanza kote nchini Iran
Jul 28, 2023 07:46Maombolezo ya Ashura ya Bwana wa Mashahidi, Imamu Hussein AS yameanza kote nchini katika Iran ya Kiislamu.
-
Kumbukumbu za Tasua ya Imam Husain AS zafanyika kona zote za Iran
Jul 28, 2023 03:00Jana Alkhamisi ilisadifiana na mwezi Tisa Mfunguo Nne, Muharram, siku ya maombolezo ya Tasua ya Imam Husain AS na mashahidi wengine wa mapambano ya Karbala ya mwaka 61 Hijria.
-
Leo katika Historia, Alkhamisi 20 Julai
Jul 20, 2023 02:39Leo ni Alkhamisi tarehe Pili Mfunguo Nne Muharram 1445 Hijria sawa na Julai 20 mwaka 2023.
-
Akhamisi, tarehe Pili Machi, mwaka 2023
Mar 02, 2023 02:20Leo ni Alkhamisi tarehe 9 Shaaban 1444 Hijri inasadifiana na tarehe Pili Machi mwaka 2023.
-
Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu (55)
Nov 05, 2022 10:28Ni wasaa na wakati mwingine tunapokutana tena wapenzi wasikilizaji katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu ili kwa pamoja tuweze kufungua ukurasa mwingine katika kurasa za historia ya Maulamaa na wanazuoni wa Kishia pamoja na mchango wao katika Uislamu.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Muqawama wa Palestina na Yemen ni muendelezo wa mapambano ya Ashura
Sep 16, 2022 13:08Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesisitiza kuwa, muqawama wa Palestina na Yemen ni muendeleza wa mapambano ya Ashura katika jangwa la Karbala mwaka 61 Hijria.
-
Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu (49)
Aug 30, 2022 06:41Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo.
-
Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu (48)
Aug 30, 2022 06:40Assalaamu alaykum wapenzi wasikilizaji popote pale yanapokufikieni matangazo haya ya Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Nukta nne muhimu za hotuba ya Ashura ya Katibu Mkuu wa Ansarullah ya Yemen
Aug 09, 2022 09:07Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amehutubia kwa mnasaba wa maadhimino ya Siku ya Ashura, hotuba ambayo ina ndani yake nukta nne muhimu za kutafakariwa.
-
Kiongozi wa Ansarullah: Imam Hussein (AS) alisimama kupambana ili kuuokoa Uislamu
Aug 09, 2022 02:54Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen, Sayyid Abdulmalik Badruddin Al-Houthi amesema, Imam Hussein (AS) alisimama kupambana kwa ajili ya kuuokoa Uislamu na shari ya maadui.