-
Jumapili, 24 Machi, 2024
Mar 24, 2024 02:26Leo ni Jumapili 13 Ramadhani 1445 Hijria mwafaka na 24 Machi 2024.
-
Majina na Lakabu za Bibi Faat'imatu-Zahraa (SalamuLlahi Alayhaa)
Jan 01, 2024 04:08Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji wa Radio Tehran mpopote pale mlipo wakati huu. Mnamo tarehe 20 Mfunguo Tisa, Jumada-Thani, mwaka wa tano kutokea Kubaathiwa Bwana Mtume, uliosadifiana na mwaka 615 Miladia, nyumba ya Nabii Muhammad (SAW) Mjumbe wa Mwenyezi Mungu na mkewe Bibi Khadija katika mji wa Makka, iliangazwa na nuru ya kuzaliwa mwana mtukufu. Mwenyezi Mungu aliwabariki watukufu hao wawili binti ambaye, alikuja kuendeleza kizazi kitoharifu cha Bwana Mtume SAW.
-
Jumapili, 19 Novemba, 2023
Nov 19, 2023 02:31Leo ni Jumapili tarehe 5 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1445 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 19 Novemba 2023 Miladia.
-
Palestina, Mhimili wa Umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu
Oct 11, 2023 11:54Karibuni kutegea sikio kipindi cha juma hili cha Makala ya Wiki ambacho kitazungumzia Palestina kama mhimili wa umoja baina ya Waislamu wote.
-
Jumanne tarehe 3 Oktoba 2023
Oct 03, 2023 02:42Leo ni Jumanne tarehe 17 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1445 Hijria sawa na Oktoba 3 mwaka 2023.
-
Kashif Asrar: Umoja wa Kiislamu ni nembo ya mshikamano wa Waislamu
Sep 30, 2023 15:46Mwanazuoni wa madhehebu ya Suni nchini Ghana amesema kuwa, umoja wa Kiislamu chini ya uongozi wa Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, unastahiki sifa na ni nembo ya mshikamano wa Waislamu.
-
Alkhamisi tarehe 28 Septemba, 2023
Sep 28, 2023 03:03Leo ni Alkhamisi tarehe 12 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1445 Hijria sawa na Septemba 28, 2023.
-
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya la Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu: Iran imejenga matumaini katika nyoyo za Waislamu
Sep 28, 2023 03:01Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesema: Makubaliano ya kieneo na ya kimataifa yaliyoundwa duniani chini ya usimamizi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yameibua matumaini katika nyoyo za Waislamu duniani.
-
Alkhamisi, Septemba 14, 2023
Sep 14, 2023 02:25Leo ni Alkhamisi tarehe 28 Mfunguo Tano Safar 1445 Hijria, mwafaka na tarehe 14 Septemba 2023 Milaadia.
-
Usikichome, Leta Mfano Wake Kama Unaweza!
Aug 17, 2023 07:13Siku moja miaka mingi sana iliyopita, yaani miaka elfu mbili kabla ya kuzaliwa Nabii Isa Masih (as), watu wa Namrud (Nimrodi) walikuwa wamerejea makwao kutoka kwenye shughuli ya kidini.