-
Bemba kugombea urais nchini Kongo baada ya kuachiwa huru na ICC
Jul 14, 2018 03:16Makamu wa Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye hivi karibuni aliachiwa huru na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC ameteuliwa na chama chake kugombea urais katika uchaguzi ujao nchini humo.
-
Rais wa Ghana awafuta kazi wakuu wa tume ya uchaguzi
Jun 29, 2018 02:49Rais wa Ghana Nana Akufo-Addo amempiga kalamu nyekundu Mkuu wa Tume ya Uchaguzi nchini humo, Charlotte Osei kutokana kile alichotaja kama utovu wa nidhamu na utepetevu.
-
Kabila wa DRC afuata nyayo za Nkurunziza, asema hatagombea muhula wa tatu wa urais
Jun 13, 2018 02:38Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesema Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo hatagombea muhula wa tatu wa urais katika uchaguzi unaotazamiwa kufanyika baadaye mwaka huu.
-
Nkurunziza asema hatogombea urais nchini Burundi mwaka 2020+SAUTI
Jun 07, 2018 11:00Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi ametangaza kuwa hatagombea urais katika uchaguzi ujao wa mwaka 2020, licha ya katiba mpya aliyoiidhinisha hii leo kumpa kibali cha kusalia madarakani hadi mwaka 2034.
-
Bunge la Iraq lataka zoezi la kuhesabu kura za uchaguzi lirudiwe tena
Jun 06, 2018 22:47Bunge la Iraq limeamua katika kikao cha dharura kilichofanyika hapo jana kuwa kura zote zilizopigwa katika uchaguzi wa bunge uliofanyika hivi karibuni zihesabiwe tena kwa mkono.
-
Shirika la ujasusi la Marekani (CIA) limeingilia chaguzi 81 duniani
Jun 06, 2018 10:01Mkuu wa zamani wa Shirika la Ujasusi la Marekani CIA, James Clapper amekiri kwamba shirika hilo limehusika na uingiliaji wa chaguzi 81 kote duniani.
-
Upinzani Ivory Coast: Hatutaruhusu Ouattara agombee muhula wa tatu
Jun 04, 2018 22:37Muungano wa upinzani nchini Ivory Coast umesema hautaruhusu mpango wowote wa kumruhusu Rais Alassane Ouattara wa nchi hiyo kugombea muhula wa tatu.
-
Mahasimu wa kisiasa nchini Libya waafikiana kuhusu tarehe ya uchaguzi
May 29, 2018 09:32Pande hasimu za kisiasa nchini Libya zimeafikiana kuhusu kufanyika uchaguzi wa rais na wa bunge nchini humo Disemba 10 mwaka huu.
-
Amri ya Mahakama ya Katiba ya Madagascar ya kubuniwa nchini serikali ya umoja wa kitaifa
May 26, 2018 08:25Mahakama ya Katiba ya Madagascar imetoa amri ya kubuniwa serikali mpya ya umoja wa kitaifa kwa ajili ya kumaliza mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.
-
Kutangazwa matokeo rasmi ya uchaguzi wa bunge Iraq na matukio ya kisiasa ya nchi hiyo
May 19, 2018 21:51Muungano wa As- Sairun unaoongozwa na Muqtada Sadr umeibuka mshindi katika uchaguzi wa bunge uliofanyika hivi karibuni nchini Iraq kwa kupata viti 54 vya uwakilishi bungeni huku muungano wa Fat-h unaoongozwa na Hadi al Amiri Katibu Mkuu wa Taasisi ya Badr ukinyakua viti 47 na muungano wa An- Nasr unaoongozwa na Waziri Mkuu Haidari al Abadi ukipata viti 42.