Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afghanistan

  • Onyo la Abdullah Abdullah kwa Marekani kufuatia mashambulizi yake nchini Afghanistan

    Onyo la Abdullah Abdullah kwa Marekani kufuatia mashambulizi yake nchini Afghanistan

    Jul 26, 2017 02:48

    Mkuu wa Baraza la Utekelezaji la Serikali ya Umoja wa Kitaifa nchini Afghanistan, Abdullah Abdullah amekosoa vikali mashambulizi ya jeshi la Marekani kwenye kambi za jeshi la serikali mkoani Helmand nchini humo.

  • Polisi 130 wa Afghanistan wajisalimisha kwa magaidi wa Taleban

    Polisi 130 wa Afghanistan wajisalimisha kwa magaidi wa Taleban

    Jul 25, 2017 03:50

    Kwa akali polisi 130 wa serikali ya Afghanistan wamejisalimisha kwa wanachama wa kundi la kigaidi na Kiwahabi la Taleban kufuatia kudhibitiwa mji wa Kohestan mkoa wa Faryab, kaskazini mwa Afghanistan.

  • Karibu watu 40 wauawa katika hujuma ya kigaidi Kabul, Afghanistan

    Karibu watu 40 wauawa katika hujuma ya kigaidi Kabul, Afghanistan

    Jul 24, 2017 10:54

    Habari kutoka Afghanistan zinaarifu kwamba, karibu watu 40 wameuawa na wengine 60 kujeruhiwa katika shambulio la kigaidi lililotokea leo mjini Kabul, mji mkuu wa nchi hiyo.

  • Russia: Marekani inapaswa kutoa maelezo kwa nini inawapa silaha magaidi nchini Afghanistan

    Russia: Marekani inapaswa kutoa maelezo kwa nini inawapa silaha magaidi nchini Afghanistan

    Jun 24, 2017 02:35

    Russia imewataka viongozi wa Afghanistan na Marekani watoe maelezo kuhusiana na sababu zilizozifanya helikopta zisizojulikana kulisaidia genge la kigaidi la Daesh nchini Afghanistan.

  • Afghanistan yatoa shukurani kwa Iran kwa kuwahifadhi wakimbizi wa nchi hiyo

    Afghanistan yatoa shukurani kwa Iran kwa kuwahifadhi wakimbizi wa nchi hiyo

    Jun 20, 2017 22:14

    Mkuu wa Baraza la Utekelezaji la Serikali ya Umoja wa Kitaifa nchini Afghanistan, Abdullah Abdullah ametoa shukurani za dhati kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuwapa hifadhi maelfu ya wakimbizi wa taifa hilo katika kipindi cha miongo mitatu iliyopita.

  • Marekani yakiri askari wake watatu wameangamizwa Afghanistan

    Marekani yakiri askari wake watatu wameangamizwa Afghanistan

    Jun 11, 2017 03:32

    Viongozi wa Marekani wametangaza kuwa askari watatu wa nchi hiyo wameuliwa na mwengine mmoja amejeruhiwa baada ya askari mmoja wa Afghanistan kuwafyatulia risasi wanajeshi wa Marekani huko mashariki mwa Afghanistan.

  • Watu 20 wauawa katika mlipuko mazikoni Kabul, Afghanistan

    Watu 20 wauawa katika mlipuko mazikoni Kabul, Afghanistan

    Jun 03, 2017 10:41

    Watu wasiopungua 20 wameuawa katika mlipuko wa kigaidi wakiwa katika maziko katika kitongoji cha mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.

  • Rais wa Afghanistan atoa hukumu ya kunyongwa wanachama 11 wa kundi la Haqqani

    Rais wa Afghanistan atoa hukumu ya kunyongwa wanachama 11 wa kundi la Haqqani

    Jun 01, 2017 23:34

    Rais Ashraf Ghani wa Afghanistan ametoa hukumu ya kunyongwa wanachama 11 kundi la kigaidi na ukufurishaji la Haqqani nchini humo.

  • Iran yalaani hujuma ya Kabul, idadi ya waliouawa yapindukia 80

    Iran yalaani hujuma ya Kabul, idadi ya waliouawa yapindukia 80

    May 31, 2017 10:30

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali shambulizi la kigaidi lililoutikisa mji mkuu wa Afghanistan, Kabul na kuuwa makumi ya watu na kujeruhi wengine wengi.

  • Jumatano, 31 Mei, 2017

    Jumatano, 31 Mei, 2017

    May 30, 2017 23:32

    Leo ni Jumatano tarehe tano Ramadhani 1438 Hijiria, sawa na tarehe 31 Mei, 2017 Miladia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS