Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afghanistan

  • Iran: Tunaunga mkono mwenendo wa amani nchini Afghanistan

    Iran: Tunaunga mkono mwenendo wa amani nchini Afghanistan

    May 30, 2017 03:41

    Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Afghanistan ametangaza kuunga mkono kikao cha mjini Kabul, mji mkuu wa nchi hiyo chenye lengo la kudumisha usalama ndani ya taifa hilo.

  • Nchi za Magharibi zinafaidika na biashara ya mihadarati Afghanistan

    Nchi za Magharibi zinafaidika na biashara ya mihadarati Afghanistan

    May 27, 2017 23:14

    Mashirika ya kijasusi ya nchi za Magharibi yanafaidika na biashara ya mihadarati nchini Afghanistan, imebainika.

  • Maulama wa Kisuni Afghanistan: Nchi za Kiarabu zimeonyesha udhalili mkubwa kwa Trump

    Maulama wa Kisuni Afghanistan: Nchi za Kiarabu zimeonyesha udhalili mkubwa kwa Trump

    May 24, 2017 23:36

    Chama cha Mwamko wa Kiislamu nchini Afghanistan kimetoa radiamali yake kali juu ya ukimya wa nchi za Kiarabu katika hotuba ya jeuri ya Rais Donald Trump wa Marekani katika kikao cha hivi karibuni mjini Riyadh, Saudi Arabia.

  • Kupenya kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) mashariki mwa Afghanistan

    Kupenya kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) mashariki mwa Afghanistan

    May 24, 2017 03:01

    Mjumbe mmoja wa Bunge la Afghanistan amesema kuwa, kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) linaendelesha harakati zake mashariki mwa nchi hiyo kupitia uungaji mkono wa Marekani.

  • Mikono ya Trump imetapakaa damu za Waislamu

    Mikono ya Trump imetapakaa damu za Waislamu

    May 22, 2017 22:49

    Qari Abdul Rahman Navarzi, mmoja wa maulama wakubwa wa Kisuni nchini Pakistan, amekosoa vikali kitendo kiovu cha utawala wa Aal-Saud cha kumwalika Rais Donald Trump wa Marekani ambaye mikono yake imetapakaa damu za Waislamu kwenda ardhi ilipo nyumba ya Mwenyezi Mungu.

  • Afghanistan: Saudia na Qatar, ndio wafadhili wakuu wa genge la Daesh nchini mwetu

    Afghanistan: Saudia na Qatar, ndio wafadhili wakuu wa genge la Daesh nchini mwetu

    May 22, 2017 11:18

    Mjumbe wa Bunge la Afghanistan amesema kuwa, kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) linaendelesha harakati zake kaskazini mwa nchi hiyo kupitia uungaji mkono wa kifedha wa Saudia na Qatar.

  • Afghanistan yatajwa kuwa nchi ya nne kuathiriwa na vita duniani

    Afghanistan yatajwa kuwa nchi ya nne kuathiriwa na vita duniani

    May 09, 2017 23:29

    Kituo cha kimataifa cha Uchunguzi wa Kistratijia, kimeitaja Afghanistani kuwa nchi ya nne kuathiriwa na vita duniani.

  • Waafghani: Iran ndio inafanya juhudi kubwa kurejesha amani nchini kwetu

    Waafghani: Iran ndio inafanya juhudi kubwa kurejesha amani nchini kwetu

    May 08, 2017 23:49

    Licha ya Marekani na washirika wake katika eneo kueneza propaganda chafu dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wachambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Afghanistan, wamekaribisha na kupongeza juhudi za taifa hili kwa ajili ya kudumisha usalama na amani nchini mwao na nafasi ya Tehran katika uwanja huo.

  • Dennis Etler: Al-Qaida na ISIS yanatumikia maslahi ya Marekani

    Dennis Etler: Al-Qaida na ISIS yanatumikia maslahi ya Marekani

    May 08, 2017 10:33

    Mchambuzi wa masuala ya kisiasa wa nchini Marekani, amesema kuwa Washington haitaki kuyatokomeza makundi ya kigaidi ya Daesh (ISIS) na al-Qaida kwa kuwa, magenge hayo yanatumikia maslahi yanchi hiyo.

  • Rais Ghani wa Afghanistan amesema kiongozi wa ISIS nchini humo ameuawa

    Rais Ghani wa Afghanistan amesema kiongozi wa ISIS nchini humo ameuawa

    May 08, 2017 03:21

    Rais wa Afghanistan Ashraf Ghani amesema kiongozi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) nchini humo ameuawa katika mashambulizi ya pamoja ya jeshi la nchi hiyo na Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS