-
Leo ni Ijumaa, 28 Aprili mwaka 2023
Apr 28, 2023 02:58Leo ni Iijumaa tarehe 7 Shawwal 1444 Hijria sawa na Aprili 28 mwaka 2023.
-
Kikao cha Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa mataifa jirani na Afghanistan
Apr 14, 2023 23:11Kikao cha nne cha nchi jirani na Afghanistan kilifanyika Alkhamisi ya juzi katika mji wa Samarkand nchini Uzbekistan.
-
Kuchapishwa ripoti rasmi ya serikali ya Biden kuhusu kuondoka Afghanistan
Apr 08, 2023 22:44Ikulu ya Rais wa Marekani (White House) Alhamisi iliyopita iliwasilisha ripoti yake rasmi kuhusu namna serikali ya Biden ilivyoondoka kwa madhila na fedheha huko Afghanistan. Ndani ya ripoti hiyo, serikali ya Trump imetajwa mara kwa mara kuwa ndio inayopaswa kulaumiwa kwa jinsi Marekani ilivyondoka huko Afghanistan katika hali ya mivutano.
-
Msimamo wa Umoja wa Mataifa kwa marufuku waliyowekewa wanawake wa Afghanistan wasihudumu katika ofisi za umoja huo
Apr 07, 2023 23:30Umoja wa Mataifa umefunga ofisi zake zote nchini Afghanistan masaa 48 baada ya serikali ya Taliban kuwapiga marufuku wanawake kufanya kazi katika ofisi ya Umoja wa Mataifa mkoani Nangarhar.
-
Ahadi mpya ya Taliban kuhusu elimu ya wasichana
Mar 30, 2023 22:39Sher Mohammad Abbas Stanikzai, naibu waziri wa mambo ya nje wa serikali ya Taliban akiwa safarini katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) amezungumzia marufuku ya elimu kwa wasichana Waafghanistani na kusema milango ya elimu haipaswi kufungiwa yeyote.
-
Taliban: Waafghani ndio walengwa wakuu wa mashambulio ya DAESH (ISIS)
Mar 28, 2023 08:12Naibu Waziri Mkuu wa serikali ya mpito ya Taliban anayehusika na masuala ya kisiasa amesema, wananchi wa Afghanistan ndio walengwa wakuu wa hujuma na mashambulio ya kundi la kigaidi la DAESH (ISIS).
-
Faini ya dola bilioni 18 inaisubiri Pakistan
Mar 05, 2023 22:58Onyo lililotolewa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwamba kama serikali ya Pakistan haitochukua msimamo ulio wazi kuhusu mkataba wa kununua gesi kutoka Iran, basi kuna hatari Islamabad ikalazimika kulipa faini ya dola bilioni 18. Inaonekana wazi kuwa, viongozi wa Pakistan wamelichukulia kwa uzito onyo hilo.
-
Jumatano, Februari 15, 2023
Feb 14, 2023 22:54Leo ni Jumatano tarehe 24 Rajab 1444 Hijria, sawa na Februari 15 mwaka 2023 Milaadia.
-
Onyo la Putin kuhusu kukithiri kwa vitisho vya kigaidi nchini Afghanistan
Feb 11, 2023 23:04Rais wa Russia, Vladimir Putin amesema kwamba: "Tishio la ugaidi limeongezeka baada ya Marekani kuondoka Afghanistan."
-
UNICEF yaonya kuhusu hali mbaya ya binadamu nchini Afghanistan
Feb 08, 2023 23:13Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limetahadharisha kuhusu matokeo mabaya ya kushadidi mgogoro wa binadamu nchini Afghanistan.