-
Rais wa Ivory Coast ataka haki itendeke kuhusu mauaji ya watu 3,000 nchini humo
Feb 11, 2019 10:14Rais Alassane Ouattara wa Kodivaa amesema kuwa lazima haki itendeke kuhusu mauaji ya watu 3,000 yaliyotokea nchini humo mwaka 2010 baada ya rais wa wakati huo Laurent Gbagbo kung'ang'ania madaraka na kukataa kuheshimu kura za wananchi.
-
HRW: Jeshi la Burkina Faso limewaua watuhumiwa mbele ya familia zao
Feb 06, 2019 11:55Mashiriki ya kimataifa ya kutetea haki za binadamu yamelituhumu jeshi la serikali ya Burkina Faso kuwa limewaua kinyama watuhumiwa wa vitendo vya kigaidi tena mbele ya watu wa familia zao.
-
Kinara wa kambi ya upinzani Cameroon atiwa nguvuni
Jan 29, 2019 04:50Vyombo vya usalama vya Cameroon vimemtia nguvuni kiongozi wa chama kikuu cha upinzani baada ya maandamano ya mwishoni mwa wiki iliyopita yaliyotawanywa na askari usalama kwa kutumia risasi za moto.
-
Nchi za Afrika kuanzisha mkakati wa kuendeleza ulinzi wa mtoto
Jan 22, 2019 23:17Maofisa wanaohusika na ulinzi wa mtoto kutoka nchi na maeneo 27 watakutana nchini Namibia kwa mara ya kwanza kujadili mikakati ya sasa na ya baadaye ya kuanzisha ulinzi wa mtoto kwa ajili ya ofisi ya kikanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, ESAF.
-
Ulimwengu wa Michezo, Jan 14
Jan 14, 2019 03:54Mkusanyiko wa matukio muhimu ya spoti ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa....
-
Misri kuwa mwenyeji wa michuano ya soka ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon)
Jan 08, 2019 10:30Shirikisho la Soka Afrika CAF limetangaza leo Jumanne kuwa Misri ndiyo itakuwa mwenyeji wa michuano ya soka ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2019, baada ya kuipokonya Cameroon uenyeji huo.
-
Ulimwengu wa Spoti, Jan 7
Jan 07, 2019 03:44Hujambo mpenzi msikilizaji na hususan mfuatiliaji wa spoti, na karibu tuangazie baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbalimbali ya dunia.....
-
Balozi wa Iran Nairobi ataka kuboreshwa ushirikiano na nchi za Afrika Mashariki
Jan 04, 2019 04:16Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu nchini Kenya ametoa wito wa kutayarishwa mazingira mazuri zaidi ya kupelekwa huduma za kiufundi na kihandisi za Iran katika nchi za mashariki mwa Afrika.
-
Msumbiji: Raia wa Tanzania na Afrika Kusini ndio wanaoongoza 'al-Shabaab'
Jan 01, 2019 04:46Waendesha Mashitaka nchini Msumbiji wamewataja raia wawili wa Tanzania na mmoja wa Afrika Kusini kuwa miongoni mwa makamanda wa kundi la kigaidi la al-Shabaab ambalo hapo awali lililikuwa linajiita Ahlu Sunna Wal Jamaa, linalofanya hujuma za umwagaji damu katika mkoa wa Cabo Delgado, kaskazini mwa nchi.
-
Ulimwengu wa Spoti, Disemba 31
Dec 31, 2018 03:42Mkusanyiko wa matukio muhimu ya spoti ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa....