-
Matukio ya Kiislamu Afrika Mashariki na Harith Subeit + Sauti
Dec 21, 2018 23:19Matukio ya Kiislamu wiki hii yamejumuisha masuala mbalimbali ikiwemo kesi ya Masheikh wa Zanzibar wanaoshikiliwa katika korokoro za Tanzania Bara kwa miaka mingi sasa. Harith Subeit na maelezo zaidi...
-
Nchi za Afrika zahitaji nafasi milioni 20 za ajira kwa mwaka
Dec 18, 2018 03:18Mkurugenzi wa Shirika la Fedha la Kimataifa IMF Bi. Christine Lagarde amesema nchi za Afrika za kusini mwa jangwa la Sahara zinapaswa kuongeza ajira milioni 20 kwa mwaka kutokana na ongezeko la kasi la idadi ya watu.
-
UNCTAD yahimiza biashara mtandaoni Afrika
Dec 14, 2018 04:15Afrika haitofikia malengo ya maendeleo endelevu ya Umoja wa Mataifa, SDGs iwapo haitokumbatia fursa ya kuwekeza katika biashara ya mtandaoni.
-
Ripoti: Marekani ina vituo vya kijeshi vya siri katika nchi za Afrika
Dec 05, 2018 12:58Tovuti ya habari ya Intercept imefichua habari za kuwepo kambi za kijeshi za siri za Marekani katika nchi kadhaa za Afrika.
-
Ujerumani kuvutia miradi zaidi ya sekta binafsi barani Afrika na kwingineko katika uga wa tabianchi
Dec 03, 2018 12:01Gerd Mueller Waziri wa Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo wa Ujerumani amesema kuwa wiki hii nchi hiyo itaweka wazi ubunifu wake katika mazungumzo ya Umoja wa Mataifa kuhusu mabadliko ya tabianchi kwa ajili ya kuvutia miradi zaidi ya uwekezaji wa sekta binafsi barani Afrika na kwingineko.
-
UN: Nchi za Afrika zinapora bajeti inayotengwa kwa ajili ya wakimbizi
Nov 30, 2018 11:40Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, baadhi ya nchi za Kiafrika zinapora na kutumia vibaya fedha zinazotengwa kwa ajili ya kuwasaidia wakimbizi barani humo.
-
Juhudi za kupambana na ugaidi barani Afrika
Nov 29, 2018 07:51Kufuatia kushamiri na kuenea harakati za makundi ya kigaidi katika maeneo mbalimbali duniani hasa Afrika, nchi washiriki wa mkutano wa pili wa kimataifa wa kupambana na ugaidi uliofanyika katika mji mkuu wa Algeria, Algiers zimesisitizia ulazima wa nchi za magharibi mwa Afrika kushirikiana pamoja katika kupambana na janga hilo.
-
Nchi za Afrika zalenga kurahisisha biashara ya kikanda na kimataifa
Nov 27, 2018 21:45Nchi za Afrika ambazo zinalenga kupunguza gharama, muda na urasimu wa kufanya biashara ya kikanda na kimataifa zinakutana huko Addis Ababa, Ethiopia, katika warsha ya kwanza kabisa ya Afrika kwa ajili ya kuunda kamati za kuwezesha biashara.
-
Watu wa nchi za Afrika wapinga vikali safari ya Mohammad bin Salman
Nov 26, 2018 04:38Watu wa nchi kadhaa za Afrika wamebainisha malalamiko yao makali kuhusu safari ya mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia, Mohammad bin Salman katika nchi zao huku wakilaani vikali harakati zake za kushawishi nchi za Kiarabu ziwe na uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Ulimwengu wa Michezo, Nov 19
Nov 19, 2018 05:45Haya ni baadhi ya matukio ya spoti yaliyogonga vichwa vya habari ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa....