-
Bara la Afrika ni medani ya duru mpya ya malumbano baina ya Qatar na kundi la Kiarabu la 3+1
Mar 15, 2018 03:46Ushahidi unaonyesha kuwa, bara la Afrika sasa limegeuka na kuwa medani mpya ya mashindano ya kuwania ushawishi katika mgogoro unaonedelea kutokota baina ya Qatar na madola ya Kiarabu ya 3+1.
-
Ulimwengu wa Michezo, Machi 12
Mar 12, 2018 03:25Hujambo mpenzi mwanaspoti wa RT na karibu katika hizi chache za kutupia jicho baadhi ya matukio muhimu yaliyogonga vichwa vya habari ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa, karibu……
-
Mazungumzo ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani na Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika
Mar 09, 2018 10:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa ambako amedai kuwa nchi yake inaunga mkono mapambano ya umoja huo dhidi ya ugaidi.
-
Museveni: Wanaume wanaowapiga wake zao ni wapumbavu
Mar 08, 2018 12:55Nchi za Afrika zimejiunga na ulimwengu katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake, huku Rais Yoweri Museveni wa Uganda akiwataja kama wapumbavu, wanaume wanaowapiga wake zao.
-
Malengo ya Marekani barani Afrika
Mar 08, 2018 03:50Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani amewasili Addis Ababa mji mkuu wa Ethiopia ikiwa ni kituo chake cha kwanza cha safari yake ya kiduru ya kuzitembelea nchi kadhaa za Kiafrika.
-
UNICEF: Nchi za Afrika zinaongoza kwa ndoa za utotoni
Mar 06, 2018 04:37Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa Unicef umesema ingawaje tabia ya kuozwa kwa lazima mabinti wadogo imepungua duniani, lakini nchi za chini ya Jangwa la Sahara barani Afrika kwa sasa zinaongoza kwa uozo huo.
-
Ulimwengu wa Spoti, Machi 5
Mar 05, 2018 03:52Hujambo mpenzi mwanaspoti wa na karibu tuangazie mawili matatu yaliyojiri kwenye uga wa michezo ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa.....
-
Askari 5 wa AU miongoni mwa watu 16 waliouawa katika hujuma za al-Shabaab Somalia
Mar 04, 2018 04:46Imerifiwa kuwa, wanajeshi watano wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia Amisom ni miongoni mwa watu 16 waliouawa katika mashambulizi ya hivi karibuni ya kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab karibu na Mogadishu.
-
Amisom: Tumekomboa 80% ya maeneo yaliyokuwa chini ya al-Shabaab Somalia
Mar 02, 2018 04:13Kikosi cha Kusimamia Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia Amisom kimesema kimefanikiwa kukomboa asilimia 80 ya maeneo ambayo yalikuwa kwenye makucha ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab.
-
Wahajiri Waafrika huko Israel wafanya maandamano wakitaka kuachiliwa huru wenzao
Feb 23, 2018 11:42Kufuatia hatua ya utawala haramu wa Kizayuni ya kuwatimua kwa nguvu wahajiri wa Kiafrika katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu zilizopachikwa jina la Israel, mamia ya wahajiri hao wamekuwa wakifanya maandamano mtawalia mjini Tel Aviv kulalamikia hatua ya utawala huo ya kuwaweka jela wahajiri wenzao.