Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • Israel yawasweka jela wakimbizi wa Kiafrika

    Israel yawasweka jela wakimbizi wa Kiafrika

    Feb 22, 2018 00:59

    Israel imewafunga jela Waafrika 7 raia wa Eritrea walioomba hifadhi katika utawala huo baada ya wakimbizi hao kukataa kupelekwa Rwanda kwa mabavu.

  • Bi Ellen Johnson Sirleaf ashinda tuzo ya uongozi bora Afrika yenye thamani ya dola milioni 5

    Bi Ellen Johnson Sirleaf ashinda tuzo ya uongozi bora Afrika yenye thamani ya dola milioni 5

    Feb 12, 2018 10:49

    Rais wa zamani wa Liberia Bi Ellen Johnson Sirleaf aliyewahi kushinda tunzo ya amani ya Nobel na ambaye pia ni mwanamke wa kwanza Mwafrika kuwahi kuchaguliwa kuwa rais wa nchi, ameshinda tuzo ya mwaka ya Mo Ibrahim katika suala la uongozi bora barani Afrika ambayo hutunukiwa viongozi wa Afrika waliofanya vyema katika utawala bora.

  • Ulimwengu wa Spoti, Feb 12

    Ulimwengu wa Spoti, Feb 12

    Feb 12, 2018 03:52

    Huu ni mkusanyiko wa matukio muhimu ya michezo yaliyojiri kitaifa na kimataifa, ndani ya siu saba zilizopita.....

  • Indhari ya WFP kuhusu kuenea njaa kusini mwa Afrika

    Indhari ya WFP kuhusu kuenea njaa kusini mwa Afrika

    Feb 10, 2018 12:47

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula Duniani (WFP) limetahadharisha kuhusu kuenea njaa eneo la kusini mwa Afrika.

  • Marais wanne wa Afrika, wahanga wa vitendo vya wake zao wenyewe

    Marais wanne wa Afrika, wahanga wa vitendo vya wake zao wenyewe

    Feb 05, 2018 01:09

    Gazeti moja la Kiarabu limechapisha makala inayoonesha namna marais wanne wa nchi za Afrika walivyokuwa wahanga wa vitendo vya wake zao na baadhi yao hata kupoteza nafasi zao za uongozi.

  • Ulimwengu wa Michezo: Morocco yatwaa taji la CHAN, Iran yazinyuka China na Myanmar Futsal

    Ulimwengu wa Michezo: Morocco yatwaa taji la CHAN, Iran yazinyuka China na Myanmar Futsal

    Feb 05, 2018 03:42

    Hujambo mpenzi mwanaspoti wa RT na karibu tutupie jicho matukio mawili matatu ya michezo yaliyogonga vichwa habari ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa....

  • Israel yaanza kuwapa wahajiri wa Afrika ilani ya kutimuliwa

    Israel yaanza kuwapa wahajiri wa Afrika ilani ya kutimuliwa

    Feb 05, 2018 01:08

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umeanza kuwapa ilani ya kutimuliwa maelfu ya wahajiri wa Kiafrika walioingia katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo haramu.

  • Safari ya Rais wa Ufaransa Afrika

    Safari ya Rais wa Ufaransa Afrika

    Feb 03, 2018 23:11

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amefanya safari huko Tunisia na Senegal na kufanya mashauriano na viongozi wa ngazi za juu wa nchi mbili hizo kuhusu masuala mbalimbali kama kuzidisha ushirikiano wa pande mbili, mapambano dhidi ya ugaidi na masuala yanayohusiana na Libya.

  • Nchi za Afrika zakasirishwa na uingiliaji kijeshi wa UAE nchini Eritrea na Somalia

    Nchi za Afrika zakasirishwa na uingiliaji kijeshi wa UAE nchini Eritrea na Somalia

    Jan 30, 2018 04:16

    Baadhi ya nchi za Kiafrika zimepinga vikali hatua ya Umoja wa Falme za Kiarabu, UAE, kujenga vituo vya kijeshi na kuingilia mambo ya ndani ya Eritrea na Somalia.

  • Umoja wa Afrika kuwawekea vikwazo wanaohatarisha amani Sudan Kusini

    Umoja wa Afrika kuwawekea vikwazo wanaohatarisha amani Sudan Kusini

    Jan 29, 2018 03:00

    Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika amesema umoja huo utawawekea vikwazo wale wote wanakwaza na kutatiza juhudi za kurejesha amani na usalama nchini Sudan Kusini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS