-
Uamuzi wa Afrika wa kurejesha amani kieneo na kimataifa
Jan 29, 2018 01:07Wakuu wa nchi za Afrika wamechukua uamuzi wa kuzidisha jitihada kwa ajili ya kurejesha amani katika uga wa kieneo na kimataifa.
-
Barua ya Trump kwa viongozi wa nchi za Kiafrika
Jan 29, 2018 01:05Katika barua aliyowaandikia viongozi wa nchi za Afrika Rais Donald Trump wa Marekani amedai kwamba, anawaheshimu sana watu wa bara hilo.
-
Guterres asema dunia haiwezi kuwa na amani bila kusuluhishwa migogoro ya Afrika
Jan 28, 2018 04:23Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesisitizia umuhimu wa kupatiwa ufumbuzi changamoto na migogoro inayozikumba nchi za bara Afrika kwa maslahi ya amani na maendeleo ya dunia.
-
Trump awaandikia barua viongozi wa nchi za Afrika, adai kuwa "anawaheshimu sana" Waafrika
Jan 28, 2018 00:59Rais Donald Trump wa Marekani amewaandikia barua viongozi wa nchi 55 za Afrika wanaokutana kwenye kikao cha Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa, Ethiopia akisema kuwa "anawaheshimu sana" watu wa bara hilo.
-
Tahadhari yatolewa kuhusu kuenea ugonjwa wa malaria barani Afrika
Jan 27, 2018 01:04Viongozi wa Umoja wa Afrika na wa Shirika la Afya Duniani WHO wametahadharisha kuhusiana na uwezekano wa kuenea na kusambaa zaidi ugonjwa wa malaria barani Afrika.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Afrika wakamilisha mkutano wao Addis Ababa
Jan 26, 2018 13:20Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi wanachama katika Umoja wa Afrika (AU) wamekamilisha mkutano wao leo Ijumaa mjini Addis Ababa huko Ethiopia.
-
Msimamo wa Umoja wa Afrika dhidi ya siasa za chuki na dharau za Trump
Jan 26, 2018 08:27Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika amewataka viongozi wa bara la Afrika kujibu matamshi ya kipumbavu na ya matusi ya Rais wa Marekani dhid ya Waafrika.
-
AU: Afrika haiwezi kunyamazia kimya matusi ya Trump
Jan 26, 2018 03:44Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika amesema bara la Afrika lilishtushwa na lingali linaendelea kutafakari kuhusu kauli chafu na ya kebehi iliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani, kwamba wahamiaji wanaoingia nchini Marekani kutoka bara hilo, Haiti na El Salvador wanatoka kwenye nchi za "shimo la kinyesi".
-
Uchumi wa Bara Afrika watazamiwa kustawi kwa kasi mwaka 2018
Jan 26, 2018 00:25Uchumi wa bara Afrika unatazamiwa kustawi kwa asilimia 3.5 mwaka huu wa 2018 hilo likuwa ni ongezeko la 0.3 kutoka mwaka 2017, amesema afisa wa Umoja wa Mataifa.
-
Ulimwengu wa Spoti, Jan 22
Jan 22, 2018 03:12Hujambo mpenzi mwanaspoti na karibu katika dakika hizi chache zilizotengwa kwa ajili ya kuangazia matukio mawili matatu ya michezo yaliyogonga vichwa vya habari kitaifa na kimataifa. Usibanduke kando ya radio yako hadi tamati ya kipindi……..Karibu…..