-
Rais Salva Kiir akosa kuhudhuria mkutano wa IGAD kuhusu nchi yake
Jun 12, 2017 09:28Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amekosa kuhudhuria mkutano wa Jumuiya ya Kieneo ya Nchi za Afrika Mashariki (IGAD) unaofanyika katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa unajadili mgogoro wa wakimbizi katika nchi hiyo changa zaidi barani Afrika.
-
Saudia yaendelea kuzishawishi nchi mbalimbali kukata mahusiano yao na Qatar, mara hii ni Afrika
Jun 08, 2017 10:59Hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu zikiongozwa na Saudia ya katika kukata uhusiano na Qatar imezidi kuwa kubwa huku Riyadh ikiendelea kuzishawishi nchi za Kiafrika kujiunga nayo katika hatua hiyo.
-
AU, UN zataka kupunguzwa askari wa kulinda amani Darfur, Sudan
Jun 07, 2017 03:03Umoja wa Afrika na Umoja wa Mataifa zimependekeza kupunguzwa idadi ya askari wanaohudumu kwenye Kikosi cha pamoja cha AU na UN huko Darfur, nchini Sudan UNAMID.
-
Uchunguzi wa kielimu waonyesha uzalishaji elimu barani Afrika uko chini sana
Jun 05, 2017 22:52Uchunguzi mpya uliofanywa na jopo la wahadhiri nchini Ufaransa, umebaini kuwa uzalishaji elimu katika mataifa ya Kiafrika uko katika kiwango cha chini ikilinganishwa na maeneo mengine ya dunia.
-
Mtazamo wa Umoja wa Ulaya kwa ajili ya kuimarisha ushirikiano na bara la Afrika
Jun 05, 2017 22:42Akizungumza hivi karibuni katika kikao cha 51 cha Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika ECOWAS huko Monrovia mji mkuu wa Liberia, Federica Mogherini, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, amesema kuwa ushirikiano wa umoja huo na bara la Afrika una umuhimu mkubwa kwa ajili ya kudhamini amani na usalama barani humo.
-
Umoja wa Afrika: Waafrika wahitimishe utegemezi wao kwa Magharibi
Jun 03, 2017 22:49Rais wa Guinea ambaye pia ndiye Mwenyekiti wa Kiduru wa Umoja wa Afrika amesema kuwa, bara la Afrika linapaswa kuhitimisha utegemezi wake kwa madola ya Magharibi.
-
Watu 20 wafariki katika ajali ya barabarani mashariki mwa Zambia
May 24, 2017 09:36Watu 20 wamefariki dunia na wengine 48 kujeruhiwa wakati basi lililokuwa likitokea kwenye mji mkuu wa Zambia, Lusaka, kupoteza mwelekeo na kupinduka.
-
Ulimwengu wa Michezo, Mei 22
May 22, 2017 02:43Ufuatao ni mkusayiko wa baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita.....
-
UNICEF: Watoto laki 3 wakimbia nchi zao bila usimamizi wa yeyote
May 19, 2017 02:55Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umesema watoto zaidi ya laki tatu kote duniani aghalabu yao wakitokea nchi za Afrika wamelazika kuwa wakimbizi na wahajiri pasina usimamizi wa mtu yeyote katika muda wa miaka miwili iliyopita.
-
UNICEF yatoa indhari ya watoto kubaki bila ya walezi Magharibi mwa Afrika
May 18, 2017 10:34Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Kushughulikia Watoto UNICEF umetangaza kuwa kati ya kila watoto watano, mmoja amepoteza wazazi wake wote wawili kutokana na ugonjwa wa Ukimwi magharibi mwa Afrika.