Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • UNICEF: Maradhi ya ukimwi yangali ni tishio duniani

    UNICEF: Maradhi ya ukimwi yangali ni tishio duniani

    May 07, 2017 08:56

    Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umetangaza kuwa, bado maradhi ya ukimwi yangali ni tishio ulimwenguni.

  • Nchi za magharibi mwa Afrika zakutana na kujadili namna ya kupambana na ugaidi

    Nchi za magharibi mwa Afrika zakutana na kujadili namna ya kupambana na ugaidi

    Apr 27, 2017 23:14

    Watalaamu kutoka nchi 10 za magharibi mwa Afrika wamekutana katika mji mkuu wa Togo, Lome na kujadili namna ya kupambana na tatizo la ugaidi pamoja na njia za kuboresha usalama na amani katika ndege za abiria.

  • Baadhi ya marais wa Afrika hawataki Machar arejee Sudan Kusini

    Baadhi ya marais wa Afrika hawataki Machar arejee Sudan Kusini

    Apr 27, 2017 03:32

    Mjumbe wa Umoja wa Mataifa amesema baadhi ya nchi za kanda ya Afrika Mashariki pamoja na Afrika Kusini haziungi mkono wazo la kurejea mjini Juba, kiongozi wa waasi nchini Sudan Kusini, Riek Machar.

  • Alkhamisi 27 Aprili, 2017

    Alkhamisi 27 Aprili, 2017

    Apr 26, 2017 22:08

    Leo ni Alkhamisi tarehe 29 Rajab 1438 Hijria sawa na 27 Aprili, 2017.

  • Mahakama ya Zambia yaamua kesi ya uhaini dhidi ya kiongozi wa upinzani iendelee

    Mahakama ya Zambia yaamua kesi ya uhaini dhidi ya kiongozi wa upinzani iendelee

    Apr 26, 2017 08:38

    Mahakama ya Zambia imeamua kuwa kesi ya uhaini inayomkablia kiongozi wa upinzani Hakainde Hichilema iendelee huku malumbano ya kisiasa yakitokota katika nchi hiyo ya kusini mwa Afrika.

  • Chanjo ya kwanza ya kinga ya homa ya Malaria kufanyiwa majaribio barani Afrika

    Chanjo ya kwanza ya kinga ya homa ya Malaria kufanyiwa majaribio barani Afrika

    Apr 24, 2017 10:36

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza leo kuwa chanjo ya kwanza ya kinga ya ugonjwa hatari wa homa ya malaria itafanyiwa majaribio katika bara la Afrika.

  • Ulimwengu wa Spoti, Apr 24

    Ulimwengu wa Spoti, Apr 24

    Apr 24, 2017 05:30

    Karibu tutupie jicho baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri wiki hii ndani na nje ya nchi....

  • Kuanza maneva ya

    Kuanza maneva ya "Simba wa Afrika" nchini Morocco

    Apr 22, 2017 07:23

    Maneva ya kijeshi yaliyopewa jina la "Simba wa Afrika" yameanza katika nchi ya Kiafrika ya Morocco yakishirikisha askari wa Jeshi la Majini la Marekani na wanajeshi 1300 kutoka nchi nyinginen 11.

  • Benki ya Dunia ina matumaini na ustawi wa kiuchumi Afrika

    Benki ya Dunia ina matumaini na ustawi wa kiuchumi Afrika

    Apr 21, 2017 02:12

    Benki ya dunia inasema kasi ya ukuaji wa uchumi barani Afrika inaridhisha mwaka huu ikilinganishwa na mwaka jana ambapo uchumi wa bara hilo uliporomoka kwa kiwango kikubwa zaidi katika kipindi cha miongo miwili.

  • Ulimwengu wa Spoti, Apr 17

    Ulimwengu wa Spoti, Apr 17

    Apr 17, 2017 02:31

    Karibu tukupashe kwa kina bingwa wa Ligi Kuu ya Soka Iran, matokeo ya Kombe la CAF na msimamo wa Ligi Kuu ya Soka Uingereza........

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS