Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • SAUTI: Vijana Rwanda watakiwa kujihadhari na ukoloni mamboleo

    SAUTI: Vijana Rwanda watakiwa kujihadhari na ukoloni mamboleo

    Apr 16, 2017 03:12

    Serikali ya Rwanda imewataka raia wake hasa vijana kutambua hila na njama za ukoloni mamboleo unaofanywa na nchi za kigeni hasa zile za Magharibi. Kwa upande wa vijana wakati huu ni ule wa kuzipenda nchi zao za Kiafrika na kuepuka kufikiria nchi zilizoendelea. Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera anaripoti zaidi.

  • Ulimwengu wa Spoti, Apr 10

    Ulimwengu wa Spoti, Apr 10

    Apr 10, 2017 03:35

    Ufuatao ni mkusanyiko wa matukio muhimu ya spoti ndani ya siku saba zilizopita, kiaifa na kimataifa......

  • Uchumi wa nchi za kusini mwa Sahara waitia wasi wasi Côte d’Ivoire

    Uchumi wa nchi za kusini mwa Sahara waitia wasi wasi Côte d’Ivoire

    Apr 06, 2017 03:07

    Serikali ya Côte d’Ivoire imeoyesha wasi wasi juu ya mwendelezo wa kushuka kiwango cha uchumi wa nchi za kusini mwa Sahara, barani Afrika.

  • Kupambana na ugaidi, lengo la kongamano la usalama barani Afrika

    Kupambana na ugaidi, lengo la kongamano la usalama barani Afrika

    Apr 04, 2017 08:05

    Viongozi wa masuala ya intelijensia na usalama kutoka nchi 30 za Kiafrika wanakutana mjini Khartoum, Sudan katika kikao cha siku tatu kwa lengo la kuchunguza mikakati ya kupambana na vitisho vipya na ongezeko la ugaidi barani humo.

  • Spoti Wiki Hii, Apr 3

    Spoti Wiki Hii, Apr 3

    Apr 03, 2017 02:29

    Huu ni mkusanyiko wa baadhi ya matukio muhimu ya spoti kitaifa na kimataifa ndani ya siku saba zilizopita.......

  • US$ Milioni 255 zahitajika kuwasaidia watoto kukabiliana na njaa Afrika, Yemen

    US$ Milioni 255 zahitajika kuwasaidia watoto kukabiliana na njaa Afrika, Yemen

    Mar 30, 2017 02:12

    Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF limesema, watoto takriban milioni 1.4 nchini Nigeria, Somalia, Sudan Kusini na Yemen wako katika hatari ya kukabiliwa na njaa.

  • Tahadhari kuhusu hali ya mgogoro katika nchi za mashariki mwa Afrika

    Tahadhari kuhusu hali ya mgogoro katika nchi za mashariki mwa Afrika

    Mar 27, 2017 07:31

    Mgogoro wa ukame katika eneo la mashariki mwa Afrika umeulazimisha Umoja wa Mataifa kutoa onyo kuhusiana na hatari ya janga la wakimbizi kwenye eneo hilo.

  • UN yaanzisha kampeni mpya ya kutokomeza Polio Afrika

    UN yaanzisha kampeni mpya ya kutokomeza Polio Afrika

    Mar 25, 2017 03:13

    Kampeni ya chanjo ya aina yake kuwahi kufanyika katika bara la Afrika dhidi ya polio itatoa chanjo kwa watoto milioni 116 wiki ijayo katika nchi 13 za Afrika Magharibi na Kati, limesema Shirika la Afya Duniani, WHO na Shirika la Kuhudumia Watoto, UNICEF.

  • Darul Iftaa ya Misri: Magharibi ni waungaji mkono wakuu wa ugaidi barani Afrika

    Darul Iftaa ya Misri: Magharibi ni waungaji mkono wakuu wa ugaidi barani Afrika

    Mar 16, 2017 11:24

    Darul Iftaa ya Misri imetangaza kuwa, nchi za Magharibi ni waungaji mkono wakuu wa makundi ya kigaidi barani Afrika na kwamba nchi hizo zinapaswa kulazimishwa kuacha kuyaunga mkono makundi ya kigaidi.

  • Ulimwengu wa Michezo, Machi 13

    Ulimwengu wa Michezo, Machi 13

    Mar 13, 2017 03:37

    Huu ni mkusanyiko wa matukio muhimu ya spoti ndani ya siku saba zilizopita.......

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS