SAUTI: Vijana Rwanda watakiwa kujihadhari na ukoloni mamboleo
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i27844-sauti_vijana_rwanda_watakiwa_kujihadhari_na_ukoloni_mamboleo
Serikali ya Rwanda imewataka raia wake hasa vijana kutambua hila na njama za ukoloni mamboleo unaofanywa na nchi za kigeni hasa zile za Magharibi. Kwa upande wa vijana wakati huu ni ule wa kuzipenda nchi zao za Kiafrika na kuepuka kufikiria nchi zilizoendelea. Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera anaripoti zaidi.
(last modified 2026-01-14T08:12:18+00:00 )
Apr 16, 2017 03:12 UTC