-
UN: Mamilioni ya watu wanahitajia misaada ya chakula katika eneo la Ziwa Chad
May 16, 2016 23:46Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, mamilioni ya watu katika eneo la Ziwa Chad barani Afrika wanahitajia misaada ya chakula.
-
AU yaelezea kusikitishwa na kiwango kikubwa cha ufisadi barani Afrika
May 08, 2016 03:05Umoja wa Afrika AU umeelezea kusikitishwa sana na kiwango cha juu cha ufisadi katika nchi za bara hilo.
-
Rwanda: Kongamano la uchumi Kigali kuangazia teknolojia na mfumo wa dijitali
May 07, 2016 03:15Rwanda inatazamiwa kuwa mwenyeji wa duru ya 26 ya Kongamano la Uchumi Duniani WEF mapema wiki ijayo. Marais, wajasiriamali na wawekezaji zaidi ya 1,200 wa bara hilo wanatazamiwa kushiriki kongamano hilo litakalofanyika Kigali kati ya Mei 11 na 13.
-
Rouhani: Iran inafadhilisha kuwa na uhusiano mzuri na nchi za Afrika
May 03, 2016 23:36Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili linafadhilisha kuwa na mahusiano mazuri na nchi za Afrika ikiwemo Togo.
-
Tahadhari kuhusu kutoweka utajiri wa Afrika
May 03, 2016 02:28Rais wa zamani wa Afrika Kusini ameonya kuhusu bara la Afrika kupata hasara ya mabilioni ya dola kutokana na utajiri wa Afrika kuondolewa kinyume cha sheria barani humo.
-
Wito wa kuwepo azma ya kupambana na makundi ya kigaidi Afrika
Apr 28, 2016 10:44Mkuu wa kikosi cha Kiafrika cha kupambana na kundi la kigaidi la Boko Haram amezitaka nchi zinazoshiriki katika operesheni ya kijeshi dhidi ya kundi hilo kuzidisha azma ya kukabiliana na ugaidi.
-
WHO: Malaria itaangamizwa kabisa Afrika hadi mwaka 2020
Apr 25, 2016 10:36Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, kuna uwezekano ugonjwa wa malaria utaangamizwa kabisa ifikapo mwaka 2020.
-
Kulaaniwa na Umoja wa Afrika mashambulizi ya watu wenye silaha nchini Ethiopia
Apr 19, 2016 22:14Umoja wa Afrika AU umelaani vikali mashambulizi ya watu wenye silaha katika mpaka wa Ethiopia na Sudan Kusini.
-
Makubaliano ya ushirikiano katika vita dhidi ya ugaidi barani Afrika
Mar 26, 2016 08:45Mawaziri wa Ulinzi na viongozi wa ngazi ya juu wa nchi 27 za Kiarabu na Kiafrika jana Ijumaa walifikia makubaliano katika mkutano uliofanyika Sharam-Sheikh nchini Misri kuhusu kuimarisha ushirikiano baina yao katika vita dhidi ya ugaidi.
-
Waasi Sudan wakataa makubaliano ya amani
Mar 25, 2016 11:21Makundi ya wanamgambo wenye silaha Sudan bado hayataki kukubali makubaliano ya amani yaliyosimamiwa na Umoja wa Afrika huku serikali ya Sudan ikisisitiza makubaliano hayo ni ya mwisho na hayawezi kubadilishwa.