-
Iran na Afrika Kusini katika mkondo wa kuhuisha kikamilifu mahusiano
Aug 11, 2023 07:34Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wiki hii aliekea Pretoria Afrika Kusini kwa ajili ya kushiriki katika mkutano wa 15 wa Kamisheni ya Pamoja ya Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Iran na Afrika Kusini na kukutana na viongozi mbalimbali wa taifa hilo.
-
Abdollahian: Iran na Afrika Kusini zina fursa nyingi za kupanua ushirikiano
Aug 10, 2023 10:27Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema, licha ya vikwazo vya upande mmoja na haramu vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, katika fremu ya sheria za kimataifa, daima kuna fursa mbalimbali kwa Iran na Afrika Kusini za kupanua uhusiano.
-
Afrika Kusini: Tutaendelea kutumia teknolojia ya China licha ya mashinikizo ya US
Aug 08, 2023 04:05Afrika Kusini imesema itaendelea kustafidi na teknolojia ya shirika la China la Huawei licha ya kushinikizwa na Marekani iachane na kampuni hiyo.
-
Makamanda wa majeshi ya majini ya Afrika Kusini na Venezuela wasisitiza kuimarisha uhusiano na Iran
Jul 31, 2023 07:36Makamanda wa vikosi vya wanamaji vya majeshi ya Afrika Kusini na Venezuela wamesisitiza udharura wa kuimarishwa uhusiano wa kiulinzi na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kikao chao na Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu.
-
Afrika Kusini: Baraza la Usalama la UN limeifelisha dunia
Jul 27, 2023 06:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini amesisitizia udharura wa kufanyiwa mabadiliko muundo wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa akisisitiza kuwa, chombo hicho kimeifelisha dunia kwa kutofanya kazi inavyotakiwa.
-
Putin: Afrika ni miongoni mwa nguzo muhimu za ulimwengu wa kambi kadhaa
Jul 26, 2023 22:59Rais Vladimir Putin wa Russia ametilia mkazo umuhimu wa bala la Afrika kama moja ya nguzo za ulimwengu wa pande kadhaa.
-
Russia: Dunia haiwezi tena kuvumilia sera za kutii amri za Marekani
Jul 25, 2023 03:38Katibu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia amesema dunia ya sasa haivumilii tena sera za kufuata amri za Marekani na inaelekea kwenye mfumo wa kambi kadhaa, mchakato ambao haukubaliwi na nchi za Magharibi.
-
Afisa mwandamizi wa usalama wa Iran ahudhuria mkutano wa BRICS Afrika Kusini
Jul 24, 2023 08:02Katibu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Iran yuko nchini Afrika Kusini kushiriki mkutano wa ngazi ya juu wa usalama wa nchi kundi la BRICS.
-
Waislamu Afrika Kusini wataka jibu la haraka kwa kuvunjiwa heshima Qurani
Jul 24, 2023 07:57Waislamu nchini Afrika Kusini wameitaka serikali ya nchi hiyo itoe taarifa ya kulaani vitendo vya mara kwa mara vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu barani Ulaya.
-
Wakuu wa Ufaransa, Marekani na Uingereza wapuuzwa, hawakualikwa mkutano wa BRICS
Jul 24, 2023 07:35Marais wa Ufaransa na Marekani na Waziri Mkuu wa Uingereza hawakualikwa kwenye mkutano ujao wa kundi la BRICS uliopangwa kufanyika barani Afrika.