-
Afrika Kusini: Chanjo ya corona ya AstraZeneca inavunja moyo
Feb 17, 2021 07:13Waziri wa Afya wa Afrika Kusini amesema amevunjwa moyo na taathira ndogo ya chanjo ya corona ya AstraZeneca kwa virusi vipya vya corona.
-
Rais wa Afrika Kusini atangaza juhudi za kufufua uchumi nchini humo
Feb 14, 2021 00:16Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ametangaza habari za juhudi kubwa zinazofanywa na serikali yake za kufufua uchumi wa nchi hiyo ulioathiriwa vibaya na maambukizi ya kirusi hatari cha corona.
-
Jeshi la Afrika Kusini laruhusu askari wanawake wa Kiislamu kuvaa hijabu kazini
Jan 29, 2021 04:22Jeshi la Afrika Kusini limefanyia marekebisho kanuni zake za uvaaji na sasa limewaruhusu askari wanawake wa Kiislamu nchini humo kuvalia vazi la stara la hijabu wakiwa kazini.
-
Maelfu wakamatwa Afrika Kusini kwa kutovaa barakoa
Jan 13, 2021 23:10Polisi ya Afrika Kusini imewatia mbaroni maelfu ya watu waliokutwa katika maeneo ya umma bila barakoa.
-
Afrika Kusini: Tuko tayari kuisaidia Marekani katika ukabidhianaji madaraka kwa njia ya amani
Jan 11, 2021 08:40Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesema kuwa nchi yake iko tayari kuipatia Marekani uzoefu wake katika uga wa kuhitimisha kipindi cha utawala wa ubaguzi wa rangi na kukabidhi madaraka kwa njia ya amani.
-
UK: Aina mpya ya virusi vya corona imetokea Afrika Kusini
Dec 24, 2020 04:43Waziri wa Afya wa Uingereza amesema spishi mpya ya kirusi cha corona iliyogunduliwa nchini humo na inayoambukiza na kuenea kwa kasi kubwa zaidi iliibukia nchini Afrika Kusini.
-
UN: Ahadi za kurejesha amani CAR zitimizwe kikamilifu
Nov 01, 2020 07:55Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia operesheni za kulinda amani Jean-Pierre Lacroix amesema ahadi za kurejesha amani huko Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) zinapaswa kutimizwa kikamilifu.
-
Waziri wa afya wa Afrika Kusini aambukizwa corona
Oct 19, 2020 04:24Waziri wa Afya wa Afrika Kusini Daktari Zweli Mkhize jana alitoa taarifa akithibitisha kuwa, yeye na mke wake wameambukizwa virusi vya COVID-19.
-
Makabiliano ya waandamanaji Waafrika wenyeji na Wazungu Afrika Kusini
Oct 16, 2020 10:12Wakulima wazingu na waandamanaji Waafrika wenyeji wamerushiana matusi katika maandamano siku ya Ijumaa nje ya mahakama wakati wa kusikilizwa kesi ya mauaji.
-
Ombi la Umoja wa Afrika la kuongezewa uwakilishi Afrika katika Baraza la Usalama la UN
Sep 24, 2020 08:02Mabadiliko ya kimsingi katika muundo wa mfumo wa kimataifa na kuongezeka nafasi ya maeneo mbalimbali ya dunia ikiwemo Afrika vimezidisha maombi ya nchi muhimu za bara hilo zikitaka kuzidishwa nafasi ya uwakilishi wa Afrika katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.