Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika Kusini

  • Ajali za barabarani zaua watu zaidi 760 ndani ya siku 20 Afrika Kusini

    Ajali za barabarani zaua watu zaidi 760 ndani ya siku 20 Afrika Kusini

    Dec 21, 2018 11:04

    Watu 767 wamefariki dunia katika ajali za barabarani zilizotokea mwezi huu wa Disemba nchini Afrika Kusini.

  • Chama kikuu cha upinzani Afrika Kusini chapinga marekebisho ya katiba

    Chama kikuu cha upinzani Afrika Kusini chapinga marekebisho ya katiba

    Dec 04, 2018 21:40

    Chama kikuu cha upinzani nchini Afrika Kusini kimetangaza kuwa, yumkini kikaenda mahakamani kusimamisha pendekezo la kufanyika marekebisho ya ardhi baada ya Bunge kupasisha ripoti inayoidhinisha kufanyika marekebisho ya katiba yatakayoruhusu kutwaliwa ardhi zinazomilikiwa na wazungu waliowachache bila ya kulipwa fidia.

  • Kushtadi ghasia Afrika Kusini kutokana na huduma mbovu na umaskini

    Kushtadi ghasia Afrika Kusini kutokana na huduma mbovu na umaskini

    Oct 18, 2018 00:42

    Ghasia na machafuko yanayoendelea kuikumba Afrika Kusini kutokana na wananchi kutoridhishwa na huduma mbovu na umaskini zimeongezeka pakubwa katika mwaka huu wa 2018. Hayo ni kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa jana Jumatano.

  • Rais Rouhani: Uwezo wa kiuchumi wa Iran na Afrika Kusini unaweza kunufaisha kila upande

    Rais Rouhani: Uwezo wa kiuchumi wa Iran na Afrika Kusini unaweza kunufaisha kila upande

    Oct 17, 2018 00:48

    Rais Hassan Rouhani amesema Iran na Afrika Kusini zina uwezo na fursa nzuri sana ambazo zinaweza kutoa mchango kamilishi kwa uchumi wa nchi mbili.

  • Iran na Afrika Kusini kustawisha uhusiano wao wa kiulinzi

    Iran na Afrika Kusini kustawisha uhusiano wao wa kiulinzi

    Oct 15, 2018 00:16

    Mkuu wa masuala ya kimataifa wa Wizara ya Ulinzi ya Iran na Waziri wa Ulinzi wa Afrika Kusini wamesisitizia kustawishwa ushirikiano wa kiulinzi na kijeshi kati ya nchi mbili.

  • Mjukuu wa Mandela: Utawala kandamizi wa Israel ni mbaya zaidi kuliko ule wa ubaguzi wa rangi

    Mjukuu wa Mandela: Utawala kandamizi wa Israel ni mbaya zaidi kuliko ule wa ubaguzi wa rangi

    Oct 12, 2018 13:42

    Mjukuu wa shujaa wa uhuru wa Afrika Kusini Mzee Nelson Mandela amefananisha mauaji yanayofanywa na Israel dhidi ya waandamanaji wa Palestina huko katika Ukanda wa Gaza na mauaji yaliyofanywa na utawala wa ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini katika eneo la Sharpeville mwaka 1960 na kusisitiza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel ni mbaya zaidi kuliko ule wa apartheid.

  • Iran na Afrika Kusini kuimarisha ushirikiano wa kiulinzi

    Iran na Afrika Kusini kuimarisha ushirikiano wa kiulinzi

    Oct 12, 2018 01:03

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Afrika Kusini zimesisitiza juu ya azma zilionayo ya kuimarisha ushirikiano wa kiulinzi baina yao.

  • Afrika Kusini yatuhumiwa kushirikiana na Saudia katika mauaji ya watu wa Yemen

    Afrika Kusini yatuhumiwa kushirikiana na Saudia katika mauaji ya watu wa Yemen

    Oct 08, 2018 11:17

    Serikali ya Afrika Kusini imetuhumiwa kuwa inashirikiana na Saudi Arabia katika mauaji yanayofanywa na utawala huo wa kifalme dhidi ya raia wasio na hatia nchini Yemen.

  • Afrika Kusini yapongeza ushindi wa Iran dhidi ya Marekani katika mahakama ya ICJ

    Afrika Kusini yapongeza ushindi wa Iran dhidi ya Marekani katika mahakama ya ICJ

    Oct 07, 2018 04:18

    Idara ya Uhusiano na Ushirikiano wa Kimataifa ya Afrika Kusini imepongeza hatua ya Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) kuiagiza Washington isimamishe vikwazo vyake vya upande mmoja dhidi ya Iran haraka iwezekanavyo.

  • Afrika Kusini yatakiwa kusitisha ushirikiano wake wa kijeshi na Saudia

    Afrika Kusini yatakiwa kusitisha ushirikiano wake wa kijeshi na Saudia

    Oct 04, 2018 23:33

    Wanaharakati wa masuala ya amani na haki za binadamu wa Afrika Kusini wameitaka serikali ya nchi hiyo isimamishe ushirikiano wake wa kijeshi na Saudi Arabia kutokana na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na utawala wa Riyadh hususan nchini Yemen.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS