Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika Kusini

  • Mieleka yashuhudiwa tena bungeni nchini Afrika Kusini

    Mieleka yashuhudiwa tena bungeni nchini Afrika Kusini

    Feb 10, 2017 04:32

    Kwa mara nyingine tena Bunge la Afrika Kusini jana Alkhamisi lililegeuzwa na kuwa ukumbi wa masumbwi, mieleka na malumbano kufuatia hatua ya wabunge wa upinzani kuzusha fujo kwa lengo la kuzuia hotuba ya Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo kwa taifa.

  • ANC: Wanaokutana na Waziri Mkuu wa Israel ni wahaini

    ANC: Wanaokutana na Waziri Mkuu wa Israel ni wahaini

    Jan 14, 2017 12:53

    Chama tawala nchini Afrika Kusini cha ANC kimepinga vikali hatua ya kiongozi wa chama cha upinzani ya kukutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu na kusema kuwa huo ni uhaini.

  • Chuki dhidi ya Uislamu, chanzo cha kuhujumiwa misikiti Afrika Kusini

    Chuki dhidi ya Uislamu, chanzo cha kuhujumiwa misikiti Afrika Kusini

    Jan 14, 2017 04:03

    Serikali ya Afrika Kusini imesema chuki dhidi ya Uislamu ndio chanzo cha hujumza mbili dhidi ya misikiti mjini Cape Town.

  • Rais wa Afrika Kusini atoa mkono wa rambirambi kufuatia kifo cha Ayatullah Rafsanjani

    Rais wa Afrika Kusini atoa mkono wa rambirambi kufuatia kifo cha Ayatullah Rafsanjani

    Jan 09, 2017 12:52

    Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini ametoa ujumbe wa rambirambi kwa niaba ya Serikali na wananchi wa Afrika Kusini kufuatia kifo cha Ayatullah Hashemi Rafsanjani, Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye pia ni Rais Mstaafu wa Iran na Spika Mstaafu wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran).

  • Rais wa Afrika Kusini atoa wito wa kushikamana na wananchi wa Palestina

    Rais wa Afrika Kusini atoa wito wa kushikamana na wananchi wa Palestina

    Jan 09, 2017 12:32

    Rais wa Afrika Kusini ametoa mwito wa wananchi wa nchi hiyo kushikamana na kufungamana na wananchi wa Palestina.

  • Pua ya nguruwe na damu vyatapakazwa mbele ya msikiti Afrika Kusini

    Pua ya nguruwe na damu vyatapakazwa mbele ya msikiti Afrika Kusini

    Jan 09, 2017 03:47

    Baraza la Sharia la Waislamu wa Afrika Kusini (MJC) limelaani kitendo cha chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu kilichofanywa kwenye msikiti wa mji wa Simon katika jimbo la Cape Town cha kuweka pua ya nguruwe na kumwaga damu kwenye mlango wa msikiti huo.

  • Watatu wauawa, 26 wajeruhiwa katika mapigano ndani ya jela nchini Afrika Kusini

    Watatu wauawa, 26 wajeruhiwa katika mapigano ndani ya jela nchini Afrika Kusini

    Dec 27, 2016 04:25

    Watu watatu wameuawa na wengine 26 wamejeruhiwa katika mapigano yaliyotokea kati ya wafungwa na walinzi wa jela ya St. Albans katika bandari ya Elizabeth mkoani Cape ya Mashariki nchini Afrika Kusini.

  • Iran na Afrika Kusini zasaini hati ya ushirikiano wa kiulinzi na kijeshi

    Iran na Afrika Kusini zasaini hati ya ushirikiano wa kiulinzi na kijeshi

    Dec 14, 2016 04:27

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Afrika Kusini zimetia saini hati ya maelewano ya ushirikiano wa kiulinzi na kijeshi.

  • Iran yazawadia shule za Afrika Kusini vitabu vya masomo ya Kiislamu

    Iran yazawadia shule za Afrika Kusini vitabu vya masomo ya Kiislamu

    Nov 26, 2016 13:09

    Mwambata wa Utamaduni wa Iran nchini Afrika Kusini amezizawadia shule za nchi hiyo vitabu kuhusu mafundisho ya Kiislamu.

  • Meli za jeshi la Iran zatia nanga katika bandari ya Durban

    Meli za jeshi la Iran zatia nanga katika bandari ya Durban

    Nov 26, 2016 04:31

    Meli za kikosi cha upelelezi cha operesheni ya mabaharia 44 wa jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, zimewasili katika bandari ya Durban, Afrika Kusini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS