-
Rais wa Afrika Kusini anusurika kwa mara ya tatu na kura ya kutokuwa na imani naye
Nov 11, 2016 00:51Bunge la Afrika Kusini limeukataa mpango wa kupiga kura ya kutokuwa na imani na Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo.
-
Malema ataka sheria ya ardhi ya kipindi cha Apartheid ifutwe
Nov 08, 2016 00:53Kiongozi wa chama cha Economic Freedom Fighters (EFF) ambaye anataka kutaifishwa mabenki, migodi na ardhi nchini Afrika Kusini amesema kuwa, atashinikiza Mahakama ya Katiba ya nchi hiyo itupilie mbali sheria ya ardhi ya kipindi cha utawala wa ubaguzi wa rangi (apartheid) inayotumiwa dhidi yake mahakamani kutokana na kutoa wito wa kutwaliwa mashamba makubwa ya kilimo yanayomilikiwa na wazungu waliowachache.
-
Ripoti mpya ya ufisadi wa kifedha dhidi ya Rais Jacob Zuma yamuweka pabaya
Nov 03, 2016 04:46Taasisi ya kupambana na ufisadi wa kifedha nchini Afrika Kusini imetoa ripoti yake mpya kuhusiana na tuhuma za ufisadi zinazomkabili Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo.
-
Gordhan akataa kuzungumzia uungaji mkono wa ANC kwake
Oct 27, 2016 10:13Waziri wa Fedha wa Afrika Kusini Pravin Gordhan leo amekataa kueleza iwapo ana imani na uungaji mkono wa kisiasa wa chama tawala cha ANC kwake, ikiwa imesalia chini ya wiki moja kabla ya kutakiwa kujibu mahakamani tuhuma zinazomkabili.
-
Afrika Kusini kujiondoa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC
Oct 21, 2016 10:12Afrika Kusini imetangaza rasmi azma yake ya kujiondoa kwenye Mkataba wa Roma uliobuni Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.
-
Machar: Nataka kukutana na Rais Zuma wa Afrika Kusini
Oct 17, 2016 00:59Makamu wa rais wa zamani na kiongozi wa waasi wa Sudan Kusini amesema anataka kuonana ana kwa ana na Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini ili amueleze 'mambo nyeti' juu ya mgogoro wa kisiasa na mapigano yanayoendelea katika nchi yake.
-
Maandamano ya wanachuo Afrika Kusini yashika kasi; polisi yaendelea kukabiliana nayo
Oct 10, 2016 10:49Maandamano ya wanachuo nchini Afrika Kusini yanaripotiwa kuongezeka baada ya baadhi ya vyuo kufunguliwa.
-
Iran na Afrika Kusini zaendeleza mashauriano ili kuimarisha uhusiano
Sep 28, 2016 03:58Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Afrika Kusini zinaendeleza mashauriano kati yao ili kufuatilia kuimarisha uhusiano wa pande mbili katika nyanja mbalimbali, khususan kisiasa na kiuchumi.
-
Rais Jacob Zuma: Afrika Kusini imeazimia kufikia ustawi wa kudumu
Sep 21, 2016 10:42Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amesema kuwa, nchi yake imeazimia kufikia malengo ya ustawi wa kudumu.
-
Waislamu Afrika Kusini wavunjiwa heshima
Sep 16, 2016 09:56Wananchi wa mji wa Tshwane nchini Afrika Kusini wamebainisha hasira zao baada ya kupatikana maandishi ukutani yenye kuwavunjia heshima Waislamu.