-
Operesheni ya kuwaokoa wachimba mgodi Afrika Kusini yaendelea
Sep 12, 2016 11:42Kikosi cha uokozi nchini Afrika Kusini, kimeendelea na shughuli za kuwaokoa wachimba madini waliokwama katika mgodi wa Langlaagte kwa siku kadhaa sasa.
-
Maandamano dhidi ya Zuma mbele ya makao makuu ya ANC
Sep 05, 2016 09:42Wanachama wa chama tawala nchini Afrika Kusini (ANC) leo Jumatatu wamepiga nara na shaari nje ya makao makuu ya chama hicho wakimtaka Rais Jacob Zuma ajiuzulu.
-
Afrika Kusini yasisitiza mapambano dhidi ya ugaidi
Aug 23, 2016 03:13Rais wa Afrika Kusini amesisitiza kuunga mkono juhudi za mapambano dhidi ya ugaidi.
-
Kupungua ushawishi wa chama tawala cha ANC nchini Afrika Kusini
Aug 13, 2016 03:18Matokeo ya kura za uchaguzi wa mabaraza ya miji nchini Afrika Kusini zilizohesabiwa hadi sasa yanaonesha kupungua ushawishi wa chama tawala cha ANC nchini humo.
-
Wafanyakazi wa Shirika la Umeme Afrika Kusini waitisha mgomo
Aug 12, 2016 00:19Wafanyakazi wa Shirika la Umeme nchini Afrika Kusini wametoa wito wa kuendeleza mgomo wa wafanyakazi wote wa shirika hilo kwa lengo la kushinikiza kuongezewa mshahara wao.
-
ANC yapigwa mweleka katika mji mkuu Pretoria
Aug 06, 2016 09:38Chama tawala nchini Afrika Kusini cha Congresi ya Taifa (ANC) kimepigwa mweleka wa kihistoria na chama cha upinzani cha Muungano wa Demokrasia (DA) katika uchaguzi wa mabaraza ya miji huko Tshwane ambayo yanahesabika kuwa makao makuu ya Pretoria mji mkuu wa uendeshaji.
-
Afrika Kusini yatangaza utayari wa kusimamia mazungumzo ya maridhiano ya kitaifa ya Palestina
Jul 31, 2016 03:09Afrika Kusini imetangaza kuwa iko tayari kuwa mwenyeji wa mazungumzo ya kufikia maridhiano ya kitaifa baina ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) na harakati ya Fat-h.
-
25 wauawa katika machafuko ya kabla ya uchaguzi Afrika Kusini
Jul 28, 2016 11:00Watu wasiopungua 25 wameuawa katika machafuko ya kabla ya uchaguzi wa mabaraza ya miji nchini Afrika Kusini.
-
Mtandao wa magidi wasambaratishwa A. Kusini
Jul 11, 2016 23:15Vyombo vya usalama nchini Afrika Kusini vimetangaza kuwa vimefanikiwa kuwatia nguvuni washukiwa wanne wa ugaidi katika operesheni maalumu iliyofanywa nchini humo.
-
Rufaa ya Zuma kupinga kufufuliwa kesi za ufisadi dhidi yake yakataliwa
Jun 24, 2016 10:14Mahakama Kuu mjini Pretoria nchini Afrika Kusini imetupilia mbali rufaa ya Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo ya kupinga kufufuliwa kesi za ufisadi wa kifedha dhidi yake, hatua ambayo ni pigo kwa rais huyo ambaye anakabiliwa na mashinikizo ya kujiuzulu kutoka viongozi wa upinzani.