Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika Kusini

  • Machafuko ya kabla ya uchaguzi Afrika Kusini

    Machafuko ya kabla ya uchaguzi Afrika Kusini

    Jun 23, 2016 03:00

    Machafuko na ghasia zimeripotiwa kupamba moto katika kipindi hiki cha kabla ya uchaguzi wa mabaraza ya miji nchini Afrika Kusini.

  • Machafuko yaongezeka Afrika Kusini kabla ya uchaguzi wa mabaraza ya miji

    Machafuko yaongezeka Afrika Kusini kabla ya uchaguzi wa mabaraza ya miji

    Jun 23, 2016 00:16

    Machafuko yameongezeka nchini Afrika Kusini sanjari na kukaribia uchaguzi wa mabaraza ya miji nchini humo.

  • Zuma akata rufaa kupinga kufufuliwa kesi za ufisadi dhidi yake

    Zuma akata rufaa kupinga kufufuliwa kesi za ufisadi dhidi yake

    Jun 10, 2016 09:36

    Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amekata rufaa kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu kuagiza kufufuliwa kesi zaidi ya 700 za ufisadi wa kifedha dhidi yake.

  • Baada ya Marekani, UK nayo yatahadharisha shambulio la kigaidi Afrika Kusini

    Baada ya Marekani, UK nayo yatahadharisha shambulio la kigaidi Afrika Kusini

    Jun 07, 2016 09:57

    Serikali ya Uingereza imeitahadharisha Afrika Kusini juu ya uwezekano wa kujiri shambulio la kigaidi dhidi ya watalii wa kigeni nchini humo.

  • Afrika Kusini: Tahadhari ya Marekani haina msingi wowote

    Afrika Kusini: Tahadhari ya Marekani haina msingi wowote

    Jun 06, 2016 22:59

    Waziri wa Usalama nchini Afrika Kusini, David Mahlobo amesema kuwa, tahadhari ya kuwepo uwezekano wa kujiri hujuma ya kigaidi nchini humo ambayo imetolewa na serikali ya Marekani, haina msingi wowote.

  • Binti wa Desmond Tutu avuliwa Ukasisi kwa kuoa mwanamke mwenzake

    Binti wa Desmond Tutu avuliwa Ukasisi kwa kuoa mwanamke mwenzake

    May 24, 2016 23:36

    Binti wa Desmond Tutu, kiongozi mashuhuri wa Kikristo wa Afrika Kusini amevuliwa joho la Ukasisi baada ya kuoa mwanamke mwenzake.

  • Rais wa Afrika Kusini akata rufaa juu ya kesi za ufisadi dhidi yake

    Rais wa Afrika Kusini akata rufaa juu ya kesi za ufisadi dhidi yake

    May 24, 2016 11:50

    Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini ametangaza kuwa atakata rufaa kupinga kufufuliwa kesi za ufisadi wa kifedha dhidi yake.

  • Tanzania, Kenya na Afrika Kusini zaanza kununua gesi asilia ya Iran

    Tanzania, Kenya na Afrika Kusini zaanza kununua gesi asilia ya Iran

    May 22, 2016 23:04

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanza kuziuzia nchi za Afrika Kusini, Kenya na Tanzania gesi asilia oevu (LNG).

  • Wabunge wa upinzani Afrika Kusini waburutwa nje ya Bunge kwa kuzuia hotuba ya Zuma

    Wabunge wa upinzani Afrika Kusini waburutwa nje ya Bunge kwa kuzuia hotuba ya Zuma

    May 17, 2016 10:07

    Kwa mara nyingine tena, Bunge la Afrika Kusini limegeuka na kuwa ukumbi wa mieleka na malumbano kufuatia hatua ya wabunge wa upinzani kuzusha fujo kwa lengo la kuzuia hotuba ya Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo.

  • CIA ilitoa taarifa zilizopelekea kukamatwa Shujaa Mandela mwaka 1962 huko Durban

    CIA ilitoa taarifa zilizopelekea kukamatwa Shujaa Mandela mwaka 1962 huko Durban

    May 15, 2016 23:27

    Hayati Shujaa Nelson Mandela wa Afrika Kusini alikamatwa na utawala wa makaburu mwaka 1962 kufuatia taarifa za siri zilizotolewa na shirika kuu la kijasusi la Marekani, CIA.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS