-
Iran yasisitiza kuimarisha uhusiano na Afrika Kusini
Apr 24, 2016 12:29Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema watu wa Iran walisimama bega kwa bega na kuwaunga mkono wazalendo wa Afrika Kusini wakati wakipambana na utawala wa makaburuwabaguzi wa rangi.
-
Rais Rouhani ampokea rasmi Rais Zuma wa Afrika Kusini
Apr 24, 2016 03:26Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amempokea rasmi mwenzake wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, ikiwa ni safari ya kwanza kwa rais huyo kuitembelea nchi hii tangu baada ya kuanza kutekelezwa makubaliano ya nyuklia kati ya Tehran na nchi zinazounda kundi 5+1.
-
Malema: Tuko tayari kupindua serikali ya Zuma hata kwa silaha
Apr 24, 2016 03:12Kinara wa upinzani nchini Afrika Kusini ameonya kuwa, wapinzani wako tayari kuipindua serikali ya Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo hata kwa mtutu wa bunduki.
-
Chama kikuu cha upinzani Afrika Kusini chaahidi 'serikali ya ukweli'
Apr 23, 2016 22:19Chama kikuu cha upinzani nchini Afrika Kusini cha Muungano wa Kidemokrasia (DA) kimezindua ilani yake ya uchaguzi katika jiji la Johannesburg, kitovu cha uchumi na moja ya maeneo kiliyokusudia kuyanyakua kutoka mikononi mwa chama tawala cha ANC katika uchaguzi wa mabaraza ya miji utakaofanyika mwezi Agosti.
-
Rais Zuma wa Afrika Kusini kuitembelea Iran leo
Apr 22, 2016 23:50Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini anatazamiwa kuwasili nchini Iran Jumamosi ya leo akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa kisiasa na kiuchumi.
-
Rais Zuma wa Afrika Kusini kuitembelea Iran Jumamosi
Apr 22, 2016 11:53Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini anatazamiwa kuwasili nchini Iran Jumamosi ya kesho akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa kisiasa na kiuchumi.
-
Zuma azidi kusakamwa, kesi dhidi yake yawasilishwa mahakamani
Apr 10, 2016 03:31Kiongozi wa jamii ya Khoisan nchini Afika Kusini amewasilisha kesi ya jinai dhidi ya Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo.
-
Zuma Anusurika kura ya kumwondoa madarakani
Apr 06, 2016 03:01Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amenusurika kura ya kutokuwa na imani naye bungeni.
-
Wapambe wa Mandela wamtaka rais Zuma ajiuzulu haraka
Apr 02, 2016 12:02Mwanaharakati maarufu anayepinga ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini amemtaka Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo ang'oke madarakani haraka iwezekanavyo.
-
Mahakama: Rais Zuma alikiuka katiba, arejeshe fedha zilizofujwa
Mar 31, 2016 09:42Mahakama ya Juu ya Afrika Kusini imemuagiza Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo kuirejeshea serikali sehemu ya dola milioni 16 za Marekani zilizotumika kukarabati makazi yake binafsi, kwenye moja ya kashfa kubwa za ufisadi zilizowahi kuripotiwa nchini humo katika miaka ya hivi karibuni.