-
Kutiwa saini makubaliano ya amani kati ya serikali ya CAR na makundi ya waasi
Jun 20, 2017 11:21Serikali ya Jamhuri ya Afrika ya Kati imetiliana saini makubaliano ya amani na makundi 13 ya waasi ikiwa ni katika juhudi za kuhitimisha vurugu na machafuko yaliyoigubika nchi hiyo na kuhatarisha usalama wa raia.
-
UN yataka kusitishwa mshambulizi dhidi ya raia huko CAR
Jun 09, 2017 08:07Kikosi cha wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati kimetoa wito wa kusimamishwa haraka iwezekanavyo mashambulizi yanayofanywa na makundi yenye silaha dhidi ya raia wa nchi hiyo.
-
Nchi za Afrika na UN: Uungaji mkono wa kimataifa unahitajika kutatua mgogoro wa Jamhuri ya Afrika ya Kati
Jun 03, 2017 15:10Nchi za katikati mwa Afrika na Umoja wa Mataifa zimetoa wito wa kuwepo msukumo na uungaji mkono wa kimataifa kwa ajili ya kutatua mgogoro wa Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
UN: Yamkini jinai dhidi ya binadamu zimefanywa Jamhuri ya Afrika ya Kati
May 30, 2017 15:37Umoja wa Mataifa umesema kuna uwezekano jinai dhidi ya binadamu zimefanywa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Mauaji yaendelea Afrika ya Kati, watu wengine 22 wauawa
May 21, 2017 04:17Mapigano yameendelea kushuhudiwa kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati ambapo watu 22 wameripotiwa kuuawa.
-
Wimbi la wakimbizi wa CAR lamiminika nchini DRC
May 17, 2017 07:33Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayehusiana na wakimbizi ametangaza habari ya kumiminika maelfu ya wakimbizi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati katika nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Katibu Mkuu UN alaani mashambulio dhidi ya raia na wasimamia amani CAR
May 15, 2017 14:14Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani mashambulio ya hivi karibuni ya makundi ya wabeba silaha dhidi ya raia na askari wa kusimamia amani wa umoja huo MINUSCA huko katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Wakimbizi wengi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati waingia DRC
May 06, 2017 13:09Viongozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wametangaza kuwa, idadi kubwa ya wakimbizi kutoka nchi jirani ya Jamhuri ya Afrika ya Kati wameingia nchini humo.
-
China: Beijing iko tayari kushiriki katika juhudi za kurejesha amani CAR
Mar 17, 2017 15:40Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa amesisitiza kuwa nchi yake iko tayari kushiriki katika juhudi za kurejesha amani na utulivu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Hali ya kibinadamu Jamhuri ya Afrika ya Kati yazidi kuwa mbaya
Mar 16, 2017 14:54Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa kuongezeka machafuko na mivutano huko Jamhuri ya Afrika ya Kati kumeifanya hali ya kibinadamu nchini humo kuwa mbaya tangu mwezi Septemba mwaka jana.