-
AHAIC: Hakuna usalama wa afya duniani bila kujumuishwa Afrika
Mar 07, 2023 07:26Viongozi wa sekta za afya Afrika wamesema dunia haitafanikiwa kuwa na usalama wa afya, iwapo nchi za bara hilo zitaendelea kutengwa.
-
Uganda yatangaza kumalizika kwa mlipuko wa Ebola ulioua makumi
Jan 11, 2023 11:15Uganda imetangaza habari ya kudhibitiwa na kutokomezwa mlipuko wa Ebola ambao umeua makumi ya watu nchini humo tangu Septemba mwaka uliomalizika 2022.
-
Kipindupindu chaua watu 51 kusini mwa Nigeria
Dec 20, 2022 07:29Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na mripuko mpya wa ugonjwa wa kipindupindu kusini mwa Nigeria imeongezeka na kufikia 51.
-
WHO: Corona ilisababisha vifo 63,000 zaidi vya malaria 2021
Dec 10, 2022 02:23Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuvurugika utoaji wa huduma za afya kutokana na janga la Corona kulipelekea kuongezeka vifo vya wagonjwa wa malaria duniani mwaka jana 2021.
-
UN yaonya baada ya mripuko wa kipindupindu kuua watu 20 Ethiopia
Nov 26, 2022 02:34Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imetoa indhari baada ya makumi ya watu kuaga dunia huku mamia ya wengine wakiathiriwa kutokana na mripuko wa ugonjwa wa kipindupindu kusini mashariki mwa Ethiopia.
-
Homa ya Dengue yaua makumi ya watu nchini Sudan
Nov 24, 2022 10:24Mamlaka za afya nchini Sudan zimetangaza habari ya kuaga dunia makumi ya watu kutokana na mripuko wa homa ya Dengi (Dengue) nchini humo.
-
Mripuko wa kipindupindu waua mamia ya watu nchini Malawi
Nov 10, 2022 10:59Wizara ya Afya ya Malawi imetangaza habari ya kuaga dunia mamia ya watu kutokana na mripuko wa ugonjwa wa kipindupindu nchini humo.
-
Kesi 6,883 za Ndui ya Nyani ziripotiwa katika nchi 13 za Afrika
Oct 29, 2022 04:20Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika (Africa CDC) kimesema kesi 6,883 za ugonjwa wa Ndui ya Nyani (Monkeypox) zimeripotiwa katika nchi 13 za bara Afrika tangu mwanzoni mwa mwaka huu 2022 hadi sasa.
-
Mripuko wa surua umeua watoto 700 nchini Zimbabwe
Sep 07, 2022 02:23Mripuko wa surua umeua takriban watoto 700 nchini Zimbabwe tokea mwezi Aprili mwaka huu hadi sasa.
-
Waziri wa Afya wa serikali ya Taliban ya Afghanistan yupo ziarani nchini Iran
Sep 06, 2022 02:15Waziri wa Afya wa Serikali ya Taliban ya Afghanistan yupo ziarani hapa nchini Iran akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa serikali hiyo.