-
Kamanda mwingine mwandamizi wa al-Shabaab ajisilimisha kwa serikali Somalia
May 20, 2019 02:50Katika kile kinachoonekana ni kuendelea kuparaganyika kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab, kamanda mwingine mwandamizi wa kundi hilo la ukufurishaji la Somalia amejisalimisha kwa serikali.
-
UN yatahadahrisha kuwa magaidi wa Al Shabab wamebadilisha mbinu
May 19, 2019 03:26Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa magaidi wa kundi la Al Shabab sasa wamebadilisha mbinu zao ili kuwawezesha kutekeleza mashambulizi mengi na hatari zaidi.
-
'Al-Shabaab' yawateka nyara madaktari 2 wa Cuba nchini Kenya
Apr 12, 2019 10:30Watu waliojizatiti kwa silaha wanaosadikiwa kuwa wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab wamewateka nyara madaktari wawili wa Cuba katika mpaka wa Kenya na Somalia.
-
Kiongozi mwandamizi wa kundi la kigaidi la Al Shabab ajisalimisha Somalia
Mar 31, 2019 22:25Kiongozi wa ngazi za juu wa kundi la kigaidi la Al Shabab amejisalimishwa kwa askari wa serikali ya Somalia katika mji wa Marka katika eneo la kusni mwa nchi hiyo la Lower Shabelle.
-
Watu 15 wauawa katika shambulizi la kigaidi Mogadishu, Somalia
Mar 28, 2019 10:38Kwa akali watu 15 wameuawa katika mripuko wa bomu lililokuwa limetegwa garini, nje ya hoteli na mikahawa katika eneo lenye shughuli nyingi katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Waziri ni miongoni mwa watu 15 waliouawa katika shambulizi la kigaidi Somalia
Mar 23, 2019 22:42Kwa akali watu 15 wameuawa katika shambulizi la kigaidi la jana Jumamosi katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Magaidi 19 wa al-Shabaab waangamizwa nchini Somalia
Mar 14, 2019 10:40Wanachama wasiopungua 16 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab wameuawa katika makabiliano baina ya kundi hilo na vikosi vya usalama katika eneo la Bar Sanguni na Jamame mkoani Lower Juba, kusini mwa Somalia.
-
Mlipuko wa bomu waua watu wanane katika soko la mnada wa mifugo Somalia
Mar 14, 2019 04:37Kwa akali watu wanane wameuawa nchini Somalia na makumi ya wengine kujeruhiwa baada ya kutokea mlipuko wa bomu katika soko la kuuza na kununua mifugo kusini magharibi mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Shambulizi la kigaidi karibu na Ikulu ya Rais laua watu kadhaa Somalia
Mar 08, 2019 04:24Kwa akali watu saba wameuawa huku wengine tisa wakijeruhiwa katika mripuko wa bomu na hujuma ya ufayatuaji risasi iliyofanywa na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Al-Shabaab yateka mji Somalia baada ya Kenya kuondoa wanajeshi wake
Mar 03, 2019 04:19Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab limeuteka mji mmoja wa kistratajia ulioko kusini magharibi mwa Somalia, baada ya jeshi la Kenya KDF kuwaondoa wanajeshi wake waliokuwa wanaudhibiti mji huo.