-
Al Shabab washambulia ofisi ya Umoja wa Mataifa Mogadishu
Jan 04, 2017 13:00Kundi la kigaidi la al Shabab limeshambulia ofisi ya Umoja wa Mataifa katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Al Shabab yamuua Mwendesha Mashtaka wa Jeshi, Puntland
Dec 26, 2016 01:03Kundi la kigaidi la al Shabab limempiga risasi na kumuua Mwendesha Mashtaka wa Jeshi katika eneo lenye mamlaka ya ndani la Puntland nchini Somalia.
-
Rais wa Somalia atoa radiamali yake kufuatia kushtadi ukosefu wa amani nchini humo
Dec 12, 2016 23:20Rais wa Somalia ameeleza kuwa nchi hiyo inapitia kipindi kigumu na ametaka kufanyike juhudi za pande zote kwa ajili ya kupambana na vitisho vya ugaidi. Rais wa Somalia ameyasema hayo baada ya mashambulizi ya kigaidi mtawalia kuikumba nchi hiyo hivi karibuni.
-
Wanne wauawa katika mlipuko wa kigaidi Somalia
Dec 12, 2016 10:27Mlipuko wa kigaidi uliotokea leo katika mji wa bandari wa Kismayo nchini Somalia umeuawa watu wanne.
-
Kundi la ash Shabab lashambulia kusini mwa Somalia
Dec 08, 2016 00:38Watu wanne wameuawa baada ya kundi la kigaidi la ash Shabab kushambulia eneo moja la kusini mwa Somalia.
-
Oparesheni ya Kenya ya kukusanya silaha katika mipaka yake na Somalia na Ethiopia
Dec 05, 2016 08:50Serikali ya Kenya imetangaza kuwa, inakusudia kutekeleza mpango wa kukusanya silaha katika maeneo ya nchi hiyo yanayopakana na nchi za Somalia na Ethiopia.
-
SAUTI: Wasiwasi wa kuanza wimbi jipya la mashambulizi ya kigaidi nchini Kenya
Nov 30, 2016 14:45Idara ya polisi Kenya imetoa tahadhari kufuatia njama ya kundi la Al Shabaab na kundi la kitakfiri la Daesh kupanga kuvamia magari ya umma katika maeneo ya mipaka pamoja na miji ya pwani kama vile Mombasa. Kenya imekuwa ikishambuliwa na magaidi tangu kikosi cha jeshi lake kuelekea nchini Somalia kusaidia kulinda amani katika ngome zinazokaliwa kimabavu na wafuasi wa kundi la ash Shabab.
-
Somalia kabla ya uchaguzi mkuu wa Novemba 30
Nov 28, 2016 10:31Uchaguzi mkuu wa Somalia umepangwa kufanyika tarehe 30 mwezi huu wa Novemba baada ya kuahirishwa mara kadhaa. Wagombea 18 wanatazamiwa kuchuana kwa ajili ya kiti cha rais mpya wa Somalia.
-
Al Shabab 11 wauliwa kusini mwa Somalia
Nov 24, 2016 04:31Wanamgambo 11 wa kundi la al Shabab lenye makao yake nchini Somalia wameuawa na vikosi vya jeshi la serikali kusini mwa nchi hiyo.
-
Jeshi la Somalia lakomboa eneo la Jauf Judud
Nov 20, 2016 02:13Jeshi la serikali ya Somalia limefanikiwa kukomboa mji wa Jouf Judud katika mkoa wa Juba ya Kati huko kusini mwa nchi hiyo.