Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

algeria

  • Bunge la Algeria lapanga kutunga sheria ya kukufanya ni uhalifu kuanzisha uhusiano na Israel

    Bunge la Algeria lapanga kutunga sheria ya kukufanya ni uhalifu kuanzisha uhusiano na Israel

    Dec 26, 2020 23:07

    Mbunge mmoja nchini Algeria amesema, bunge la nchi hiyo linafikiria kutunga sheria ambayo itakutafsiri kuwa ni uhalifu kuanzisha uhusiano wowote wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel

  • Algeria na Tunisia zazuia ndege ya Israel kutumia anga zao

    Algeria na Tunisia zazuia ndege ya Israel kutumia anga zao

    Dec 23, 2020 08:56

    Algeria na Tunisia zimeizuia ndege ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuruka katika anga zao ili kuonyesha upinzani wao kwa hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala huo haramu.

  • Vyama vya kisiasa Algeria vyakosoa vikali kuanzishwa uhusiano kati ya Morocco na utawala wa Kizayuni

    Vyama vya kisiasa Algeria vyakosoa vikali kuanzishwa uhusiano kati ya Morocco na utawala wa Kizayuni

    Dec 14, 2020 23:31

    Vyama vya kisiasa nchini Algeria vimekosoa vikali hatua ya Morocco ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel na kusisitiza kuwa kitendo hicho ni pigo la kidhalili kwa mataifa ya Algeria, Palestina na Sahara Magharibi.

  • Algeria yautaka Umoja wa Afrika kutekeleze majukumu yake kuhusu Sahara Magharibi

    Algeria yautaka Umoja wa Afrika kutekeleze majukumu yake kuhusu Sahara Magharibi

    Dec 03, 2020 07:36

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria amesema kuwa Algiers inasikitishwa mno na hali ya Sahara Magharibi hususan matukio yaliyoshuhudiwa hivi karibuni na ameutaka Umoja wa Afrika AU utekeleze ipasavyo majukumu yake katika eneo hilo.

  • Viongozi wa kisiasa Algeria wakasirishwa na uingiliaji wa Macron katika masuala ya nchi yao

    Viongozi wa kisiasa Algeria wakasirishwa na uingiliaji wa Macron katika masuala ya nchi yao

    Nov 24, 2020 10:20

    Matamshi yaliyotolewa hivi karibuni na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kuhusiana na hali ya ndani ya Algeria yamekosolewa vikali na vyama na makundi mbalimbali ya kisiasa ya nchi hiyo

  • Jumatano tarehe 18 Novemba 2020

    Jumatano tarehe 18 Novemba 2020

    Nov 18, 2020 00:59

    Leo ni Jumatano tarehe Pili Mfunguo Saba Rabiuthani 1442 Hijria sawa na Novemba 18 mwaka 2020.

  • Ushiriki mdogo katika kura ya maoni ya katiba nchini Algeria

    Ushiriki mdogo katika kura ya maoni ya katiba nchini Algeria

    Nov 02, 2020 23:12

    Kura ya maoni kuhusu katiba ya Algeria ilifanyika Novemba Mosi ambapo ni Waalgeria wachache sana waliojitokeza katika zoezi hilo. Taarifa zinasema ni takribani asilimi 24 tu ya wananchi walioshiriki katika kura hiyo ya maoni.

  • Waalgeria wanapiga kura ya kupasisha katiba mpya inayobana kipindi cha rais

    Waalgeria wanapiga kura ya kupasisha katiba mpya inayobana kipindi cha rais

    Nov 01, 2020 03:32

    Zaidi ya Waalgeria milioni 24 leo wanashiriki katika zoezi la kuipigia kura katiba mpya ya nchi hiyo inayobana kipindi cha uongozi wa rais wa nchi na kulipa Bunge la Mahakama mamlaka makubwa zaidi.

  • Wafaransa walitumia mifupa ya wapigania uhuru wa Algeria kutengenezea sabuni

    Wafaransa walitumia mifupa ya wapigania uhuru wa Algeria kutengenezea sabuni

    Oct 31, 2020 00:30

    Mshauri wa masuala ya historia wa Rais wa Algeria amefichua jinai ambazo Ufaransa ilitenda nchini humo katika enzi za ukoloni.

  • Waalgeria wahimizwa kuipigia kura katiba mpya ya nchi hiyo

    Waalgeria wahimizwa kuipigia kura katiba mpya ya nchi hiyo

    Oct 24, 2020 00:51

    Wananchi wa Algeria wamehimizwa kuipigia kura ya ndio katiba mpya katika zoezi la kura ya maoni lililopangwa kufanyika Novemba Mosi mwaka huu. Serikali imeitaja kura hiyo ya maoni kuwa msingi wa nchi mpya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS