Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

algeria

  • Jumamosi tarehe 20 Juni 2020

    Jumamosi tarehe 20 Juni 2020

    Jun 19, 2020 23:57

    Leo ni Jumamosi tarehe 28 Shawwal 1441 Hijria sawa na Juni 20 mwaka 2020.

  • Misri kufungua viwanja vya ndege Julai, Algeria yalegeza sheria za kudhibiti corona

    Misri kufungua viwanja vya ndege Julai, Algeria yalegeza sheria za kudhibiti corona

    Jun 16, 2020 00:25

    Misri imetangaza kuwa itafungua viwanja vyake vyote vya ndege kuanzia Julai Mosi, baada ya kuvifunga kwa miezi kadhaa sasa kutokana na maambukizi ya virusi vya corona.

  • Algeria: Kutwaliwa eneo la Ukingo wa Magharibi ni mpango batili na wa kiadui

    Algeria: Kutwaliwa eneo la Ukingo wa Magharibi ni mpango batili na wa kiadui

    Jun 14, 2020 01:58

    Serikali ya Algeria imetangaza kuwa, mpango wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kulitwaa eneo la Palestina la Ukingo wa Magharibini batili na wa kiuhasama si kwa taifa la Palestina pekee bali kwa nchi zote za Waislamu.

  • Jumapili, Juni 14, 2020

    Jumapili, Juni 14, 2020

    Jun 13, 2020 22:11

    Leo ni Jumapili tarehe 22 Mfunguo Mosi Shawwal 1441 Hijria sawa na Juni 14 mwaka 2020 Milaadia.

  • Algeria: Tutaendelea na upatanishi hadi kutatuliwa mzozo wa Libya

    Algeria: Tutaendelea na upatanishi hadi kutatuliwa mzozo wa Libya

    Jun 02, 2020 03:00

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria amesema kuwa, nchi yake itaendeleza juhudi za kupunguza mizozo na kuzikinaisha pande nyingine nchini Libya ili zishiriki mazungumzo ya kisiasa ya kutatua mzozo wa nchi hiyo.

  • Algeria: Hamaki za wengine hazitotufanya tuvunje uhusiano wetu na China

    Algeria: Hamaki za wengine hazitotufanya tuvunje uhusiano wetu na China

    May 14, 2020 03:22

    Msemaji wa Ikulu ya Algeria amesema kuwa, uhusiano wa nchi yake na China ni mzuri, uko wazi na ni wa kipekee, hivyo hamaki za wengine haziishughulishi Algiers na itaendeleza uhusiano wake huo na China kama kawaida.

  • Rais wa Algeria: Kupita zama hakuwezi kuifanya historia isahau jinai za dola koloni la Ufaransa

    Rais wa Algeria: Kupita zama hakuwezi kuifanya historia isahau jinai za dola koloni la Ufaransa

    May 08, 2020 06:56

    Rais Abdelmajid Tebboune wa Algeria amesema kuwa, nusu ya wakazi wa nchi hiyo waliuawa katika jinai kubwa ya umwagaji damu iliyofanywa na Ufaransa katika kipindi cha ukoloni; na kupita zama katu hakuwezi kufuta jinai hizo katika kurasa za historia.

  • Algeria: Utatuzi wa mgogoro wa Libya bila kutushirikisha sisi, ni jambo lisilowezekana

    Algeria: Utatuzi wa mgogoro wa Libya bila kutushirikisha sisi, ni jambo lisilowezekana

    May 02, 2020 06:38

    Rais Abdelmadjid Tebboune wa Algeria sambamba na kusisitizia nafasi ya nchi yake katika utatuzi wa mzozo wa Libya amesema kuwa, katika kukaribia kupatiwa njia za ufumbuzi mgogoro wa Libya na kuanza kwa mwenendo wa kisiasa, serikali ya Algiers imekuwa ikishiriki katika mwenendo huo.

  • Corona imeua watu karibu 800 hadi sasa barani Afrika

    Corona imeua watu karibu 800 hadi sasa barani Afrika

    Apr 14, 2020 08:05

    Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Umoja wa Afrika kimesema takriban watu 800 wamepoteza maisha kutokana na ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya Corona barani Afrika.

  • Waziri wa zamani wa Algeria kuwa mjumbe maalumu wa UN nchini Libya

    Waziri wa zamani wa Algeria kuwa mjumbe maalumu wa UN nchini Libya

    Mar 12, 2020 04:26

    Waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Algeria ametangazwa kuwa chaguo la baadae la kushika nafasi ya mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS