Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

algeria

  • Jumapili, tarehe 9 Februari, 2020

    Jumapili, tarehe 9 Februari, 2020

    Feb 09, 2020 02:41

    Leo ni Jumapili tarehe 14 Mfunguo Tisa Jamadu th-Thani 1441 Hijria, sawa na tarehe 9 Februari 2020 Miladia.

  • Sisitizo la Iran na Algeria kuhusu msimamo imara dhidi ya 'Muamala wa Karne'

    Sisitizo la Iran na Algeria kuhusu msimamo imara dhidi ya 'Muamala wa Karne'

    Feb 05, 2020 07:26

    Mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Algeria wamesisitiza kuhusu ulazima wa kuchukuliwa msimamo imara pamoja na kuwepo mshikamano wa Ulimwengu wa Kiislamu katika kukabliana na njama ya Kimarekani-Kizayuni iliyopewa jina la 'Muamala wa Karne'.

  • Tunisia na Algeria zatangaza vita na mpango wa Trump wa Muamala wa Karne

    Tunisia na Algeria zatangaza vita na mpango wa Trump wa Muamala wa Karne

    Jan 30, 2020 07:11

    Nchi za Algeria na Tunisia zimelaani hatua ya rais wa Marekani, Donald Trump ya kuanzisha vurugu jipya duniani kupitia mpango wake wa kidhulma wa Muamala wa Karne na zimetangaza kuwa ziko pamoja na taifa la Palestina katika kupigania haki zake zote ikiwemo suala la kuundwa nchi huru ya Palestina.

  • Ujerumani: Wasioheshimu usimamishaji vita Libya wasusiwe

    Ujerumani: Wasioheshimu usimamishaji vita Libya wasusiwe

    Jan 24, 2020 06:12

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumaini amesema katika kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi zinazopakana na Libya huko Algiers, mji mkuu wa Algeria kwamba, wale wote wasioheshimu usitishaji vita nchini Libya inabidi wawekewe vikwazo za Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

  • Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi zinazopakana na Libya wakutana Algeria

    Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi zinazopakana na Libya wakutana Algeria

    Jan 23, 2020 07:41

    Algeria leo itakuwa mwenyeji wa kikao cha mawaziri wa mambo ya nje wa nchi zinazopakana na Libya kitakachojadili mgogoro unaoendelea nchini humo.

  • Jumamosi, 11 Januari, 2020

    Jumamosi, 11 Januari, 2020

    Jan 11, 2020 04:51

    Leo ni Jumamosi tarehe 15 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1441 Hijria inayosadifiana na tarehe 11 Januari 2020 Miladia.

  • Maelfu ya Waalgeria waandamana baada ya rais mpya wa nchi hiyo kuapishwa

    Maelfu ya Waalgeria waandamana baada ya rais mpya wa nchi hiyo kuapishwa

    Dec 21, 2019 07:39

    Makumi ya maelfu ya watu waliandamana jana nchini Algeria baada ya Sala ya Ijumaa kupinga kuchaguliwa rais mpya wa nchi hiyo Abdelmajid Tebboune, ambaye tayari ameshatawazwa kushika wadhifa huo, huku harakati ya umma iliyopinga kufanyika uchaguzi wa rais ikitafakari wito wa kufanya mazungumzo uliotolewa na kiongozi huyo.

  • Mustakbali wa Algeria baada ya kuapishwa rais mpya

    Mustakbali wa Algeria baada ya kuapishwa rais mpya

    Dec 21, 2019 07:31

    Baada ya kupita miezi mingi ya mgogoro wa kisiasa na maandamano ya wananchi, hatimaye uchaguzi wa rais umefanyika nchini Algeria na Abdelmadjid Tebboune amechaguliwa kuwa rais wa nchi hiyo kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.

  • Tebboune aapishwa kuwa rais mpya wa Algeria

    Tebboune aapishwa kuwa rais mpya wa Algeria

    Dec 19, 2019 13:19

    Abdelmajid Tebboune ameapishwa leo Alkhamisi kuwa rais wa Algeria, huku harakati ya upinzani ya Hirak ikiendelea kujadili ombi la kiongozi huyo la kufanya mazungumzo.

  • Kutangazwa matokeo ya uchaguzi wa rais Algeria katika kivuli cha maandamano ya upinzani

    Kutangazwa matokeo ya uchaguzi wa rais Algeria katika kivuli cha maandamano ya upinzani

    Dec 14, 2019 11:07

    Uchaguzi wa Rais Algeria umefanyika katika anga iliyogubikwa na ukosefu wa amani na usalama. Ripoti zinasema nusu ya watu waliotimiza masharti ya kupiga kura ndio walioshiriki kwenye zoezi hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS