-
Mustakbali wa Algeria baada ya kuapishwa rais mpya
Dec 21, 2019 04:01Baada ya kupita miezi mingi ya mgogoro wa kisiasa na maandamano ya wananchi, hatimaye uchaguzi wa rais umefanyika nchini Algeria na Abdelmadjid Tebboune amechaguliwa kuwa rais wa nchi hiyo kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
-
Tebboune aapishwa kuwa rais mpya wa Algeria
Dec 19, 2019 09:49Abdelmajid Tebboune ameapishwa leo Alkhamisi kuwa rais wa Algeria, huku harakati ya upinzani ya Hirak ikiendelea kujadili ombi la kiongozi huyo la kufanya mazungumzo.
-
Kutangazwa matokeo ya uchaguzi wa rais Algeria katika kivuli cha maandamano ya upinzani
Dec 14, 2019 07:37Uchaguzi wa Rais Algeria umefanyika katika anga iliyogubikwa na ukosefu wa amani na usalama. Ripoti zinasema nusu ya watu waliotimiza masharti ya kupiga kura ndio walioshiriki kwenye zoezi hilo.
-
Maandamano yashtadi Algeria licha ya kutangazwa mshindi wa urais
Dec 14, 2019 04:01Wananchi wa Algeria wameendelea kufanya maandamano katika barabara za miji mikubwa ya nchi hiyo ukiwemo mji mkuu Algiers, licha ya mshindi wa uchaguzi wa rais uliofanyika hivi karibuni kutangazwa.
-
Matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais Algeria, Abdelmadjid Tebboune anaongoza
Dec 13, 2019 08:31Matokeo ya awali ya uchagauzi wa rais nchini Algeria yanaonesha kuwa waziri mkuu wa zamani wa nchi hiyo Abdelmadjid Tebboune anaongoza baada ya kuwapiku wagombea wenzake wanne.
-
Waandamanaji Algeria wataka kufutwa uchaguzi wa leo Alhamisi
Dec 11, 2019 23:42Umati mkubwa wa wananchi wa Algeria jana walikusanyika katikati mwa mji mkuu wa nchi hiyo Algiers wakitaka kusitishwa uchaguzi wa Rais uliopangwa kufanyika leo Alhamisi. Waandamanaji hao walikuwa wakipiga nara hawatapiga kura leo katika uchaguzi huo wa Rais walioutaja kama mchezo wa kimaonyesho.
-
Mahakama ya Algeria yawahukumu kifungo jela mawaziri wakuu wawili wa zamani
Dec 10, 2019 08:32Mahakama ya Sidi M'Hamed katika mji mkuu wa Algeria, Algiers imewahukumu vifungo vya muda mrefu jela mawaziri wakuu wawili wa zamani wa nchi hiyo baada ya kupatikana na hatia zinazohusiana na ufisadi na ubadhirifu wa mali ya umma.
-
Algeria yaendelea kushuhudia maandamano sambamba na kukaribia kufanyika uchaguzi wa Rais
Nov 30, 2019 07:46Mji mkuu wa Algeria, Algiers na miji mingine ya nchi hiyo imeendelea kushuhudia maandamano makubwa ya wapinzani zikiwa zimebakia siku chache kabla ya kufanyika uchaguzi wa Rais nchini humo.
-
Algeria yalaani taarifa ya Bunge la Ulaya, yasema inaingilia masuala yake ya ndani
Nov 29, 2019 05:55Serikali ya Algeria imelaani vikali taarifa iliyotolewa na Bunge la Ulaya kuhusu hali ya ndani ya nchi hiyo ikisisitiza kuwa hatua hiyo ni kuingilia masuala ya ndani ya nchi nyingine.
-
Uchaguzi wa rais Algeria kufanyika bila kuhudhuriwa na waangalizi wa kimataifa
Nov 27, 2019 00:13Msemaji wa Tume Huru ya Uchaguzi ya Algeria amesema, hakutakuwepo na waangalizi wa kimataifa katika uchaguzi wa rais wa nchi hiyo uliopangwa kufanyika tarehe 12 ya mwezi ujao wa Desemba.