Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

algeria

  • Polisi Algeria yawatia mbaroni makumi ya watu wanaopinga kufanyika uchaguzi wa rais

    Polisi Algeria yawatia mbaroni makumi ya watu wanaopinga kufanyika uchaguzi wa rais

    Nov 24, 2019 04:33

    Askari usalama nchini Algeria wamewatia mbaroni watu wasiopungua 30 wanaopinga kufanyika uchaguzi wa rais nchini humo. Watu hao wamekamatwa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Algiers.

  • Algeria wazidi kuandamana kupinga uchaguzi unaowashirikisha watu wa Bouteflika

    Algeria wazidi kuandamana kupinga uchaguzi unaowashirikisha watu wa Bouteflika

    Nov 15, 2019 23:48

    Barabara za Algeria zimeendelea kushuhudia maandamano makubwa ya wananchi kwa wiki ya 37 wanaolalamikia mfumo wa utawala wa nchi hiyo na kutofuatiliwa mafisadi wa utawala wa Abdelaziz Bouteflika.

  • Mgombea urais Algeria: Syria inabidi irejee Arab League

    Mgombea urais Algeria: Syria inabidi irejee Arab League

    Nov 11, 2019 23:28

    Abdel Qadir bin Qrina, mgombea urais katika uchaguzi ujao wa Algeria amesema kuwa iwapo atashinda uchaguzi huo, basi atafanya juhudi kuhakikisha Syria inarudi kwenye Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League).

  • Watu 5 kati ya 23 waidhinishwa kuchuana katika uchaguzi wa urais Algeria

    Watu 5 kati ya 23 waidhinishwa kuchuana katika uchaguzi wa urais Algeria

    Nov 02, 2019 23:57

    Tume Huru ya Uchaguzi ya Algeria (NIEMA) imeidhinisha majina matano kati ya wagombea 23 waliotangaza azma zao za kugombea kiti cha urais nchini humo katika uchaguzi uliopangwa kufanyika tarehe 12 Disemba mwaka huu.

  • Jeshi la Algeria lawaonya Wamagharibi dhidi ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi hiyo

    Jeshi la Algeria lawaonya Wamagharibi dhidi ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi hiyo

    Oct 01, 2019 04:23

    Mkuu wa Jeshi la Algeria amezionya nchi za Magharibi dhidi ya kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo, na kuzitaja nchi hizo kama 'vyama ajinabi vyenye uhasama'.

  • Jeshi la Algeria lachukua hatua za kuzuia maandamano ya wananchi dhidi ya utawala

    Jeshi la Algeria lachukua hatua za kuzuia maandamano ya wananchi dhidi ya utawala

    Sep 19, 2019 03:03

    Mkuu wa jeshi la Algeria ameamuru kukamatwa mabasi na magari yote ya usafirishaji yanayobeba waandamanaji kueleka katika mji mkuu wa nchi hiyo, Algiers.

  • Algeria yatangaza tarehe ya uchaguzi wa rais

    Algeria yatangaza tarehe ya uchaguzi wa rais

    Sep 16, 2019 22:01

    Rais wa mpito wa Algeria ametangaza Disemba 12 kuwa tarehe ya kufanyika uchaguzi wa rais nchini humo.

  • Rais wa Algeria atoa wito wa kuundwa tume huru ya uchaguzi

    Rais wa Algeria atoa wito wa kuundwa tume huru ya uchaguzi

    Sep 09, 2019 22:08

    Rais wa muda wa Algeria ametoa wito wa kufanyika mashauriano kwa ajili ya kuunda tume huru ya uchaguzi nchini humo.

  • Makamanda wa jeshi la Algeria waunga mkono uchaguzi wa haraka

    Makamanda wa jeshi la Algeria waunga mkono uchaguzi wa haraka

    Sep 03, 2019 03:36

    Mkuu wa Jeshi la Algeria kwa mara nyingine ameunga mkono kufanyika uchaguzi wa rais haraka iwezekanavyo nchini humo.

  • Wananchi wa Algeria waandamana wakitaka kutimuliwa mabaki ya utawala wa Bouteflika

    Wananchi wa Algeria waandamana wakitaka kutimuliwa mabaki ya utawala wa Bouteflika

    Aug 24, 2019 07:39

    Maelfu ya wananchi wa Algeria wameendelea na maandamano yao ya nchi nzima kushinikiza kufukuzwa serikalini mabaki yote ya utawala wa Abdulaziz Bouteflika, rais wa nchi hiyo aliyelazimika kujiuzulu kutokana na maandamano makubwa ya wananchi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS