-
Waziri wa zamani wa Mahakama wa Algeria atiwa mbaroni
Aug 23, 2019 02:55Waziri wa zamani wa Mahakama wa Algeria ametiwa mbaroni kwa tuhuma za uchochezi na kuzuia kutekelezwa uadilifu.
-
SADC yataka Zimbabwe iondolewe vikwazo vya kiuchumi
Aug 17, 2019 21:53Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika (SADC) imetoa wito kwa jamii ya kimataifa kuiondolea Zimbabwe vikwazo vya kiuchumi.
-
Vyama vya upinzani Algeria vyatoa wito wa uasi wa kiraia
Aug 03, 2019 07:37Vyama vya upinzani nchini Algeria vimetoa wito wa kufanyika uasi wa kiraia nchini humo.
-
Jeshi Algeria launga mkono kuanza mazungumzo ya kitaifa
Jul 11, 2019 06:47Kamanda wa jeshi la Algeria ametangaza kuwa anaunga mkono kuanza mazungumzo jumuishi ya kitaifa yatakayosimamiwa na shakhia wanaojitegemea.
-
Wapinzani Algeria waafiki kwa mara ya kwanza mpango wa serikali ya muda
Jul 07, 2019 02:49Wapinzani nchini Algeria wamekubali katika mkutano wa mazungumzo yao ya kitaifa kuhusu mpango wa serikali na kuweka masharti katika uwanja huo.
-
Maandamano ya wananchi wa Algeria yaendelea chini ya ulinzi mkali
Jul 06, 2019 06:26Maelfu ya wananchi wa Algeria wanaendelea na maandamano yao ya nchi nzima chini ya ulinzi mkali kushinikiza kufukuzwa serikalini mabaki yote ya utawala wa Abdulaziz Bouteflika, rais wa nchi hiyo aliyelazimika kujiuzulu kutokana na maandamano makubwa ya wananchi.
-
Ijumaa, tarehe 5 Julai, 2019
Jul 04, 2019 21:48Leo ni Ijumaa tarehe Pili Dhulqaada 1440 Hijria, sawa na tarehe 5 Julai 2019.
-
Maandamano ya wananchi yailazimisha serikali ya Algeria kuunda tume ya mazungumzo ya kitaifa
Jul 04, 2019 05:29Baada ya kushadidi maandamano makubwa ya wananchi, rais wa muda wa Algeria amesema kuwa, kumeshaandaliwa mazingira ya kuanza mazungumzo ya kitaifa nchini humo.
-
Waziri mkuu wa zamani Algeria afikishwa kizimbani kwa tuhuma za ufisadi
Jun 16, 2019 23:57Waziri mkuu wa zamani wa Algeria Ahmed Ouyahia amefikishwa mahakamani mjini Algiers Jumapili kusailiwa kuhusu tuhuma za ufisadi unaohusu mshirika mmoja wa Algeria na shirika la Volkswagen la Ujerumani.
-
Wanafunzi Algeria wakataa kufanya mazungumzo na utawala ulioko madarakani
Jun 12, 2019 03:04Wananfunzi nchini Algeria jana walifanya maandamano katika mitaa mbalimbali ya Algiers mji mkuu wa nchi hiyo na kutangaza kuwa hawatafanya mazungumzo na utawala ulioko madarakani.