Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

algeria

  • Jumapili, tarehe 9 Juni, 2019

    Jumapili, tarehe 9 Juni, 2019

    Jun 08, 2019 22:32

    Leo ni Jumapili tarehe 5 Shawwal 1440 Hijiria, sawa na tarehe 9 Juni 2019 Miladia.

  • Maelfu waandamana Algeria wasema ,'Nyote Ondokeni'

    Maelfu waandamana Algeria wasema ,'Nyote Ondokeni'

    Jun 08, 2019 03:11

    Maelfu ya watu wameandamana katika mji mkuu wa Algeria, Algiers wakitaka rais wa mpito Abdlekader Bensalah aondoke baada ya sisitizo lake kuwa atabakia madarakani hadi rais mpya achaguliwe.

  • Wananchi Algeria waendelea na maandamano; wataka kukabidhiwa madaraka kwa amani

    Wananchi Algeria waendelea na maandamano; wataka kukabidhiwa madaraka kwa amani

    May 24, 2019 23:40

    Maelfu ya wananchi wa Algeria jana Ijumaa waliendelea kuandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo Algiers na katika miji mingine ya nchi hiyo wakitaka kukabidhiwa kwa amani madaraka nchini.

  • Mkuu wa Majeshi Algeria: Uchaguzi ni njia bora ya kujinasua na mgogoro

    Mkuu wa Majeshi Algeria: Uchaguzi ni njia bora ya kujinasua na mgogoro

    May 21, 2019 00:15

    Mkuu wa Majeshi wa Algeria alisema jana Jumatatu katika taarifa aliyotoa kupitia televisheni ya nchi hiyo kuwa kufanyika uchaguzi ni njia bora itakayoiwezesha Algeria kuondoka na mgogoro wa kisiasa na kuepuka ombwe la kikatiba.

  • Algeria yawakamata wahamiaji haramu 95

    Algeria yawakamata wahamiaji haramu 95

    May 13, 2019 23:46

    Vikosi vya usalama Algeria vimewakamata wahamiaji haramu 95 kwenye operesheni mbalimbali.

  • Uchaguzi; changamoto kubwa katika matukio ya Algeria

    Uchaguzi; changamoto kubwa katika matukio ya Algeria

    May 07, 2019 20:56

    Mgogoro wa kisiasa nchini Algeria unaendelea kushuhudiwa huku suala la kufanyika uchaguzi wa Rais limegeuka na kuwa changamoto kubwa kabisa nchini humo.

  • Rais wa muda wa Algeria ataka kuweko mazungumzo ya kitaifa

    Rais wa muda wa Algeria ataka kuweko mazungumzo ya kitaifa

    May 06, 2019 23:41

    Abdelkader Bensalah, Rais wa Muda wa Algeria ametoa wito wa kuweko mazungumzo ya kitaifa katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika kwa shabaha ya kufikia mwafaka katika masuala ambayo yamezusha hitilafu nchini humo.

  • Maandamano ya wananchi yaendelea Algeria kupinga serikali ya mpito

    Maandamano ya wananchi yaendelea Algeria kupinga serikali ya mpito

    May 04, 2019 03:43

    Wananchi wa Algeria wameendelea na maandamano yao ya kupinga serikali ya mpito ya nchi hiyo na kuishutumu kuwa inapoteza muda.

  • Waandamanaji Algeria wataka kupandishwa kizimbani ndugu ya Bouteflika

    Waandamanaji Algeria wataka kupandishwa kizimbani ndugu ya Bouteflika

    Apr 26, 2019 22:11

    Wananchi wa Algeria jana waliandamana tena ikiwa ni Ijumaa ya 10 mtawalia ya maandamano yao ambapo mbali na kusisitiza juu ya kuachia ngazi viongozi na maafisa wote wa serikali waliokuwa katika kipindi cha utawala wa Abdelaziz Bouteflika, Rais wa nchi hiyo aliyelazimika kujiuzulu, wametoa mwito wa kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria Said Bouteflika, ndugu ya rais huyo mkongwe aliyejiuzulu kufuatia maandamano ya wananchi.

  • Mwenyekiti wa Baraza la Katiba Algeria ajiuzulu huku maandamano yakiendelea

    Mwenyekiti wa Baraza la Katiba Algeria ajiuzulu huku maandamano yakiendelea

    Apr 16, 2019 21:56

    Mwenyekiti wa Baraza la Katiba nchini Algeria amejiuzulu huku maandamano ya wananchi yakiendelea katika miji mbalimbali ya nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS