Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

algeria

  • Majaji wa Algeria kususia uchaguzi mkuu ujao wa Julai

    Majaji wa Algeria kususia uchaguzi mkuu ujao wa Julai

    Apr 14, 2019 03:14

    Majaji wa Algeria wametangaza kuwa watasusia uchaguzi mkuu ujao ulioratibiwa kufanyika mwezi Julai mwaka huu.

  • Uchaguzi wa rais wa Algeria kufanyika tarehe 4 Julai

    Uchaguzi wa rais wa Algeria kufanyika tarehe 4 Julai

    Apr 10, 2019 22:45

    Ofisi ya rais wa Algeria imetangaza kuwa, uchaguzi wa rais wa nchi hiyo utafanyika tarehe 4 Julai mwaka huu.

  • Maandamano yanaendelea Algeria licha ya ahadi za kufanyika uchaguzi huru

    Maandamano yanaendelea Algeria licha ya ahadi za kufanyika uchaguzi huru

    Apr 10, 2019 11:40

    Polisi katika mji mkuu wa Algeria, Algiers wamewafyatulia mabomu ya kutoa machozi maelfu ya wanafunzi waliokuwa wanaandamana kumpinga Spika wa Bunge Abdelkader Bensalah anayekaimu nafasi ya Abdulaziz Bouteflika, rais wa Algeria aliyelazimishwa kujiuzulu na maandamano makubwa ya wananchi.

  • Waalgeria washadidisha maandamano baada ya kuteuliwa rais wa mpito

    Waalgeria washadidisha maandamano baada ya kuteuliwa rais wa mpito

    Apr 09, 2019 10:11

    Maelfu ya wananchi wa Algeria wakiwemo wanafunzi wa Vyuo Vikuu wamemiminika mabarabarani kushiriki maandamano ya kupinga kuteuliwa rais wa mpito wa nchi hiyo.

  • Bunge la Algeria kumteua rais wa mpito baada ya Bouteflika kujiuzulu

    Bunge la Algeria kumteua rais wa mpito baada ya Bouteflika kujiuzulu

    Apr 07, 2019 02:24

    Bunge la Algeria linatazamiwa kumteua rais wa mpito atakayeiongoza nchi hiyo baada ya Abdelaziz Bouteflika kujiuzulu.

  • Kujiuzulu Rais Abdelaziz Bouteflika wa Algeria na mustakabali wa nchi hiyo

    Kujiuzulu Rais Abdelaziz Bouteflika wa Algeria na mustakabali wa nchi hiyo

    Apr 03, 2019 10:28

    Hatimaye Rais Abdelaziz Bouteflika wa Algeria amejiuzulu wadhifa wake baada ya miaka 20 kufuatia wiki kadhaa za maandamano na mashinikizo dhidi yake. Bouteflika alitangaza uamuzi huo jana Jumanne na kusema amelijulisha Baraza la Katiba kuhusu hatua yake ya kujiondoa madarakani.

  • Furaha, nderemo na vifijo vyatanda nchini Algeria baada ya Bouteflika kujiuzulu

    Furaha, nderemo na vifijo vyatanda nchini Algeria baada ya Bouteflika kujiuzulu

    Apr 03, 2019 03:26

    Miji mbalimbali ya Algeria imeendelea kushuhudia furaha, nderemo na vifijo baada ya Rais Abdelaziz Bouteflika kutangaza kujiuzulu.

  • Hatimaye Rais Abdelaziz Bouteflika wa Algeria ajiuzulu

    Hatimaye Rais Abdelaziz Bouteflika wa Algeria ajiuzulu

    Apr 02, 2019 22:57

    Hatimaye Rais Abdelaziz Bouteflika wa Algeria amejiuzulu wadhifa wake baada ya miaka 20 kufuatia wiki kadhaa za maandamano na mashinikizo dhidi yake.

  • Kuendelea mgogoro wa kisiasa nchini Algeria

    Kuendelea mgogoro wa kisiasa nchini Algeria

    Apr 01, 2019 08:45

    Mgogoro wa kisiasa nchini Algeria ambao katika siku za hivi karibuni umeshadidi mno, sasa unaonekana kuchukua mkondo na wigo mpana zaidi.

  • Maandamano yapamba moto Algeria baada ya Bouteflika kung'ang'ania madaraka na kuunda serikali mpya

    Maandamano yapamba moto Algeria baada ya Bouteflika kung'ang'ania madaraka na kuunda serikali mpya

    Apr 01, 2019 02:35

    Maandamano makubwa ya wananchi wa Algeria yanaendelea baada ya rais mgonjwa wa nchi hiyo, Abdulaziz Bouteflika kukataa uamuzi wa kung'oka madarakani na kuamua kuunda serikali mpya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS