-
Maandamano makubwa yafanyika Algeria, Bouteflika akataa kung'atuka madarakani
Mar 29, 2019 11:28Maandamano makubwa yamefanyika leo nchini Algeria huku wananchi wakiendelea kudai mabadiliko ya utawala wakati rais Abdelaziz Bouteflika amekataa kung'atuka madarakani hata baada ya kutengwa na jeshi.
-
Maandamano ya wananchi yamng'oa Bouteflika madarakani Algeria, kaimu wake atangazwa
Mar 26, 2019 22:49Televisheni ya al Nahar ya Algeria imetangaza kuwa, Spika wa Bunge la nchi hiyo, Abdelkader Bensalah ameteuliwa kukaimu nafasi ya Rais Abdulaziz Bouteflika kwa muda wa siku 45. Bouteflika ameeng'olewa madarakani kwa nguvu nchini humo baada ya kushadidi maandamano ya wananchi ya kumtaka ajiuzulu.
-
Ndege ya kijeshi ya Marekani yapeleka magaidi 29 wa Daesh (ISIS) nchini Algeria
Mar 25, 2019 22:37Duru za usalama za Algeria zimetangaza kuwa, magaidi 29 wa Daesh wapelekwa nchini humo kwa ndege ya kijeshi ya Marekani.
-
Makumi ya maelfu waandamana Algiers, mji mkuu wa Algeria
Mar 22, 2019 20:01Makumi ya maelfu ya watu wameandamana katika mji mkuu wa Algeria, Algiers, kushinikiza kung'oka madarakani Rais Abdelaziz Bouteflika ambaye anatembelea kigari cha wagonjwa.
-
Russia yapinga madola ya nje kuingilia masuala ya ndani ya Algeria
Mar 19, 2019 23:02Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Seregei Lavrov amesisitiza kuwa nchi yake inapinga uingiliaji wa madola ya nje katika masuala na hali inayoendelea hivi sasa nchini Algeria.
-
Jeshi la Algeria lasisitiza kuyapatia ufumbuzi matatizo na kuwaunga mkono wananchi
Mar 19, 2019 03:35Mkuu wa vikosi vya jeshi la Algeria amesisitiza kuwa vikosi vya nchi hiyo vitaendelea kuwa pamoja na wananchi.
-
Waziri Mkuu wa Algeria aanza mazungumzo ya kuunda serikali mpya
Mar 17, 2019 21:56Waziri Mkuu wa Algeria ameanza mazungumzo ya kuunda serikali mpya kama hatua iliyochukuliwa ili kuwaridhisha wananchi wanaofanya maandamanao wakiomtaka Rais wa nchi hiyo, Abdelaziz Bouteflika na serikali yake wang'atuke madarakani.
-
Umoja wa Afrika wasisitiza ulazima wa kufanyika mazungumzo ya kitaifa Algeria
Mar 17, 2019 13:33Umoja wa Afrika (AU) umesisitiza kwamba kuna ulazima wa kufanyika mazungumzo ya kitaifa nchini Algeria.
-
Maafisa wa chama tawala Algeria wajitenga na Rais Bouteflika
Mar 16, 2019 01:12Maafisa waandamizi wa chama tawala nchini Algeria cha FNL wamemtaka Rais Abdelaziz Bouteflika wa nchi hiyo kuchukua hatua ya 'kihistoria', hatua nyingine ambayo inaashiria kuwa chama hicho kimeendelea kujiweka mbali na Bouteflika.
-
Algeria; kuendelea mgogoro au kufanya harakati katika njia ya demokrasia?
Mar 12, 2019 22:55Baada ya wiki kadhaa za malalamiko, maandamanao na kushadidi hali hiyo katika siku za hivi karibuni baada ya Rais Abdelaziz Bouteflika wa Algeria kutangaza kugombea kiti cha urais kwa muhula wa tano mtawalia, hatimaye kiongozi huyo amefutilia mbali uamuzi wake huo.