Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

algeria

  • Bouteflika alazimika kutengua azma yake ya kuwania urais Algeria

    Bouteflika alazimika kutengua azma yake ya kuwania urais Algeria

    Mar 11, 2019 23:51

    Baada ya mashinikizo na maandamano ya karibu mwezi mmoja, hatimaye Rais Abdelaziz Bouteflka wa Algeria amefutilia mbali azma yake ya kugombea tena urais katika uchaguzi ujao nchini humo.

  • Mahakimu zaidi ya 1,000 wa Algeria: Hatutasimamia uchaguzi wa rais endapo Rais Bouteflika atagombea

    Mahakimu zaidi ya 1,000 wa Algeria: Hatutasimamia uchaguzi wa rais endapo Rais Bouteflika atagombea

    Mar 11, 2019 13:19

    Mahakimu zaidi ya elfu moja nchini Algeria wamejiunga na wimbi la upinzani la kupinga rais wa nchi hiyo Abdelaziz Bouteflka kugombea tena katika uchaguzi wa urais unaotazamiwa kufanyika mwezi ujao na kusisitiza kuwa hawatasimamia uchaguzi huo endapo kiongozi huyo atakuwa mmoja wa wagombea.

  • Maulamaa nchini Algeria waonya juu ya uingiliaji wa kigeni katika mzozo wa sasa nchini humo

    Maulamaa nchini Algeria waonya juu ya uingiliaji wa kigeni katika mzozo wa sasa nchini humo

    Mar 11, 2019 04:42

    Jumuiya ya Maulamaa wa Kiislamu nchini Algeria imetahadharisha kuhusu aina yoyote ya uingiliaji wa kigeni katika matukio ya ndani ya nchi hiyo.

  • Rais Bouteflika kurejea nchini Algeria leo, maandamano yachachamaa

    Rais Bouteflika kurejea nchini Algeria leo, maandamano yachachamaa

    Mar 10, 2019 10:51

    Rais Abdelaziz Bouteflika wa Algeria anatazamiwa kurejea katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika leo Jumapili, baada ya kuwa nje ya nchi kwa muda wa wiki mbili kwa ajili ya matibabu.

  • Algeria yafunga vyuo vikuu, wanafunzi walaumiwa kuchochea maandamano

    Algeria yafunga vyuo vikuu, wanafunzi walaumiwa kuchochea maandamano

    Mar 10, 2019 03:48

    Serikali ya Algeria Jumamosi imeamuru vyuo vikuu vyote nchini humo vifungwe mapema kabla ya kuanza likizo ya msimu wa machipuo ili kujaribu kuzima kasi ya maandamano yanayoongozwa na wanachuo dhidi ya Rais Abdelaziz Bouteflika.

  • Waalgeria waandamana hadi hospitali alikolazwa Bouteflika nchini Uswisi

    Waalgeria waandamana hadi hospitali alikolazwa Bouteflika nchini Uswisi

    Mar 09, 2019 00:52

    Waalgeria wanaoishi nchini Uswisi wamefanya maandamano ya kupinga msimamo wa Rais Abdelaziz Bouteflika wa kugombea tena urais kwa muhula wa tano.

  • Rais Bouteflika azidi kubanwa;  awaonya wafanya maandamano dhidi yake

    Rais Bouteflika azidi kubanwa; awaonya wafanya maandamano dhidi yake

    Mar 08, 2019 12:01

    Rais Abdelaziz Bouteflika wa Algeria ametoa onyo lake la kwanza kwa maelfu ya raia wanaoandamana katika mitaa mbalimbali ya nchi hiyo wakitaka ahitimishe utawala wake wa miaka 20. Amesema kuwa ghasia na machafuko yatayumbisha nchi.

  • Nchi za Magharibi zavunja kimya, zaitaka Algeria iheshimu haki za raia

    Nchi za Magharibi zavunja kimya, zaitaka Algeria iheshimu haki za raia

    Mar 06, 2019 04:46

    Nchi za Magharibi zimevunja kimya chao cha muda sasa mbele ya ukandamizaji mkubwa unaofanywa na vyombo vya dola nchini Algeria dhidi ya raia wanaopinga uamuzi wa rais mgonjwa wa nchi hiyo wa kutaka kugombea tena kiti hicho na kuitaka serikali ya Algiers iheshimu haki za raia ikiwemo haki ya kufanya maandamano ya amani.

  • Maandamano yashika kasi Algeria, jeshi laapa kuzuia umwagikaji damu

    Maandamano yashika kasi Algeria, jeshi laapa kuzuia umwagikaji damu

    Mar 05, 2019 23:23

    Maelfu ya wananchi wa Algeria Jumanne waliendeleza maandamano katika mji mkuu Algiers, wakimtaka Rais Abdelaziz Bouteflika aondoke madarakani huku jeshi nalo likiapa kuzuia umwagikaji damu nchini humo.

  • Wanafunzi Algeria wagoma kuingia madarasani kupinga msimamo mpya wa Bouteflika

    Wanafunzi Algeria wagoma kuingia madarasani kupinga msimamo mpya wa Bouteflika

    Mar 05, 2019 04:31

    Wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Algeria ambao wameonyesha kuwa na dhamira ya kuongoza maandamano makubwa zaidi dhidi ya serikali kuwahi kushuhudiwa nchini humo kwa miaka kadhaa sasa, jana waligoma kuingia madarasani ili kuonyesha upinzani wao kwa pendekezo la Rais Abdelaziz Bouteflika la kugombea tena urais katika uchaguzi utakaofanyika mwezi ujao, lakini kutobaki madarakani kwa muhula wote endapo atachaguliwa tena.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS