Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

algeria

  • Rais wa Algeria asisitiza kugomeba urais huku maandamano dhidi yake yakishadidi

    Rais wa Algeria asisitiza kugomeba urais huku maandamano dhidi yake yakishadidi

    Mar 04, 2019 23:14

    Hatimaye muhula wa mwisho wa kujiandikisha kisheria kugombea urais wa Algeria ulipowadia, Rais Abdelaziz Bouteflika, alijiandikisha rasmi kugombea tena katika uchaguzi huo. Katika barua yake kwa watu wa Algeria, ameahidi kuwa akichaguliwa atahakikisha kuna katiba mpya ambayo itapigiwa kura ya maoni na wananchi ili kuwepo mfumo mpya wa utawala nchini humo.

  • Rais wa Algeria aahidi kung'atuka madarakani ndani ya mwaka mmoja endapo atachaguliwa tena

    Rais wa Algeria aahidi kung'atuka madarakani ndani ya mwaka mmoja endapo atachaguliwa tena

    Mar 03, 2019 23:55

    Rais Abdelaziz Bouteflika wa Algeria anayekabiliwa na upinzani wa umma baada ya kuweko madarakani kwa muda wa miaka 20, amesema atagombea tena urais kwa mara ya tano katika uchaguzi uliopangwa kufanyika mwezi Aprili, lakini ameahidi kung'atuka madarakani na kuitisha uchaguzi wa mapema ndani ya muda wa mwaka mmoja endapo atachaguliwa tena.

  • Chama cha Wafanyakazi kususia uchaguzi wa urais Algeria

    Chama cha Wafanyakazi kususia uchaguzi wa urais Algeria

    Mar 03, 2019 04:29

    Chama cha Wafanyakazi nchini Algeria kimetangaza kuwa hakitashiriki katika uchaguzi wa urais unaotazamiwa kufanyika Aprili 18 mwaka huu.

  • Makumi ya maelfu ya Waalgeria waandamana kutaka rais Bouteflika ang'atuke madarakani

    Makumi ya maelfu ya Waalgeria waandamana kutaka rais Bouteflika ang'atuke madarakani

    Mar 02, 2019 12:47

    Makumi ya maelfu ya watu wameandamana katika miji mbalimbali nchini Algeria kutaka rais wa nchi hiyo Abdelaziz Bouteflika aondoke madarakani. Maandamano hayo ya jana Ijumaa ni makubwa zaidi kufanywa dhidi ya serikali tangu yale ya miaka minane nyuma wakati wa vuguvugu la Machipuo ya Kiarabu yaliyojulikana pia kama Mwamko wa Kiislamu.

  • Kushadidi ghasia na machafuko nchini Algeria

    Kushadidi ghasia na machafuko nchini Algeria

    Mar 02, 2019 11:32

    Maandamano ya wananchi wa Algeria dhidi ya uamuzi wa Rais wa sasa wa nchi hiyo, Abdelaziz Bouteflika wa kutaka kugombea tena kiti cha urais katika uchaguzi ujao yameitumbukiza nchi hiyo katika mgogoro mkubwa wa kisiasa na hadi sasa watu wasiopungua 10 wameuliwa katika mapigano kati ya waandamanaji na polisi huko Algiers mji mkuu wa nchi hiyo.

  • Mamia ya wanachuo waandamana nchini Algeria dhidi ya Bouteflika

    Mamia ya wanachuo waandamana nchini Algeria dhidi ya Bouteflika

    Feb 27, 2019 04:28

    Mamia ya wanafunzi wa vyuo vikuu wa Algeria wamefanya maandamano katika barabara za mji mkuu wa nchi hiyo Algiers, kupinga mpango wa rais wa nchi hiyo Abdulaziz Bouteflika, kugombea tena urais kwa muhula wa tano.

  • Makumi ya watu wakamatwa Algeria kwa kupinga rais Bouteflika kugombea tena urais kwa mara ya tano

    Makumi ya watu wakamatwa Algeria kwa kupinga rais Bouteflika kugombea tena urais kwa mara ya tano

    Feb 23, 2019 12:17

    Askari usalama wa Algeria wamewatia mbaroni watu 41 katika maandamano ya wananchi wenye hasira yaliyofanyika kwenye mji mkuu wa nchi hiyo Algiers, kupinga rais wa nchi hiyo Abdelaziz Bouteflika, ambaye ni mgonjwa, kugombea tena urais kwa muhula wa tano.

  • Waalgeria wapinga Bouteflika kugombea tena kiti cha rais

    Waalgeria wapinga Bouteflika kugombea tena kiti cha rais

    Feb 17, 2019 08:51

    Makundi mbalimbali ya wananchi wa Algeria wamefanya maandamano leo wakipinga uamuzi wa Rais wa sasa wa nchi hiyo, Abdelaziz Bouteflika kugombea kiti hicho kwa mara ya tano.

  • Rais wa Algeria (81) asema atagombea muhula wa tano wa urais

    Rais wa Algeria (81) asema atagombea muhula wa tano wa urais

    Feb 11, 2019 04:21

    Rais Abdulaziz Bouteflika wa Algeria ametangaza kuwa atagombea muhula wa tano wa kiti cha rais, katika uchaguzi mkuu unaotazamiwa kufanyika mwezi Aprili mwaka huu.

  • Spika Larijani: Magaidi ni jeshi la Marekani Mashariki ya Kati

    Spika Larijani: Magaidi ni jeshi la Marekani Mashariki ya Kati

    Jan 31, 2019 01:02

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge la Iran) amesema kuwa Marekani sasa inawahamisha magaidi kuwatoa sehemu moja na kuwapeleka sehemu nyingine baada ya kuwatumia kama wenzo wa kutimiza malengo yake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS