-
Ijumaa tarehe 11 Januari, 2019
Jan 10, 2019 21:40Leo ni Ijumaa tarehe 4 Jamadil Awwal 1440 Hijria sawa na tarehe 11 Januari 2019.
-
Waalgeria wengi wanapinga safari ya bin Salman nchini mwao
Dec 02, 2018 04:23Uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa na gazeti la al Shuruq la Algeria unaonesha kuwa asilimia 72.5 ya wananchi wa nchi hiyo wanapinga ziara ya Mohammed bin Salman, mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia nchini mwao.
-
Nchi za Afrika zasisitiza udharura wa kupambana na ugaidi
Nov 27, 2018 21:44Nchi zinazoshiriki mkutano wa kimataifa wa kupambana na ugaidi nchini Algeria zimetangaza kwamba, ushirikiano wa nchi za magharibi mwa Afrika unaweza kuwa na mchango mkubwa katika mapambano dhidi ya ugaidi.
-
Serikali ya Algeria yalaani mauaji ya Khashoggi, upinzani dhidi ya safari ya bin Salman waongezeka
Nov 26, 2018 12:13Huku kukiwa na habari ya uwezekano wa mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia kutembelea Algeria na kuongezeka upinzani wa wananchi wa nchi hiyo dhidi ya ziara hiyo, serikali ya Algiers imelaani rasmi mauaji ya Jamal Ahmad Khashoggi, mwandishi wa habari aliyekuwa akiukosoa utawala wa Aal Saud.
-
Jumapili Novemba 18
Nov 17, 2018 23:16Leo ni Jumapili tarehe 10 Mfungo Sita Rabiul-Awwal 1440 Hijiria, sawa na tarehe 18 Novemba 2018 Miladia.
-
Gaidi mmoja Algeria aelezea namna Marekani inavyoshirikiana na magaidi wa ISIS
Nov 04, 2018 23:44Gaidi mmoja wa Algeria ambaye wakati fulani alijiunga na genge la kigaidi la Daesh (ISIS) nchini Syria ameiambia Mahakama ya al Dar al Baydhaa ya Algeria kuwa, wakati alipoingia Syria alipokewa na afisa mmoja wa jeshi la Marekani na kumpa mafunzo ya kutumia silaha yeye na wenzake kadhaa.
-
Ukosoaji wa Bunge la Afrika kwa muamala wa kindumakuwili wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na wahajiri haramu
Oct 29, 2018 06:20Bunge la Afrika (PAP) limekosoa undumakuwili wa Umoja wa Mataifa katika kuamiliana na nchi za Kiafrika na za Ulaya kwenye kadhia nzima ya kukabiliana na tatizo la wahajiri haramu.
-
Naibu Spika wa Bunge la Afrika: Libya na Algeria ni wahanga wa uhajiri haramu
Oct 29, 2018 04:44Naibu Spika wa Bunge la Afrika (PAP) amesema Libya na Algeria ni wahanga wa uhajiri haramu barani humo.
-
Algeria na Mauritania zakutana kuzungumzia Sahara Magharibi
Oct 22, 2018 23:32Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Algeria na Mauritania wameitisha kikao cha pamoja cha kujadili hatima ya Sahara Magharibi inayopigania uhuru wake kutoka kwa Morocco.
-
Maulamaa Algeria walalamikia marufuku ya vazi la Burqa makazini
Oct 21, 2018 11:17Jumuiya ya Maulamaa wa Kiislamu ya nchini Algeria imelalamikia uamuzi wa serikali ya nchi hiyo wa kupiga marufuku kuvaliwa na wanwake wa Kiislamu vazi la Burqa katika maeneo ya kazi.