-
Algeria: Afrika imedhulumika katika Umoja wa Mataifa
Sep 30, 2018 04:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria amesema, Afrika imedhulumika katika Umoja wa Mataifa na kwenye Baraza la Usalama la umoja huo na kwa hivyo dhulma hiyo inapasa iondolewe.
-
Ubeberu wa Marekani haubakishi mtu, sasa ni zamu ya Algeria
Sep 29, 2018 11:14Msemaji wa ubalozi wa Marekani mjini Algiers amesema kuwa, Washington hivi sasa inachunguza uwezekano wa kuiwekea vikwazo Algeria kutokana na kununua silaha kutoka Russia.
-
Wanasheria wa Algeria: Ufaransa inapasa kuwalipa fidia wahanga wa ukoloni nchini Algeria
Sep 16, 2018 02:59Mwanasheria mmoja wa haki za binadamu nchini Algeria ametaka Paris ilipe gharama na fidia kufuatia kukiri serikali ya Ufaransa kuwatesa na kuwaua wale wote waliokuwa wakiunga mkono mapinduzi ya Algeria.
-
Kamanda wa Jeshi la Libya adai, jeshi la Algeria limeivamia Libya
Sep 09, 2018 11:33Kamanda wa jeshi la taifa la Libya amedai kuwa Algeria imeingiza wanajeshi wake katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Libya yajiweka katika hali ya tahadhari kufuatia mripuko wa kipindupindu nchini Algeria
Aug 27, 2018 03:30Wizara ya Afya ya Libya imetangaza kuwa hali ya tahadhari imetangazwa nchini humo kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu kufuatia mripuko wa ugonjwa huo uliotokea katika nchi jirani ya Algeria.
-
Watoto wawili wauawa kwa mripuko wa bomu nchini Algeria
Aug 19, 2018 10:21Mripuko wa bomu moja lililotengenezwa kienyeji umepelekea watoto wadogo wawili kuuawa na kujeruhiwa watu wengine wanne nchini Algeria.
-
Wahajiri haramu zaidi ya 100 waokolewa katika eneo la mpaka wa pamoja wa Niger na Algeria
Aug 12, 2018 03:01Shirika la Kimataifa la Uhajiri limetangaza kuwa wahajiri zaidi ya 100 kutoka nchi za Afrika wameokolewa katika eneo la mpaka wa pamoja wa Niger na Algeria.
-
Algeria yalaani jinai za wanajeshi wa Israel katika Ukanda wa Ghaza
Aug 11, 2018 22:39Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Algeria amelaani vikali jinai za wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza.
-
Algeria yasitisha kuwafukuzia katika jangwa la Sahara wakimbizi
Jul 15, 2018 09:23Algeria karibuni imesimamisha kuwafukuza wakimbizi kuelekea katika jangwa la Sahara baada ya hatua hiyo kupingwa vikali na maafisa kadhaa wa usalama wa ngazi ya juu.
-
Jeshi la Algeria laanza oparesheni kubwa karibu na mpaka wa Tunisia
Jul 12, 2018 03:01Jeshi la Algeria limeanzisha oparesheni kubwa katika maeneo ya mpaka wa pamoja na nchi jirani ya Tunisia kufuatia kutekelezwa shambulio la kigaidi Jumapili iliyopita katika mkoa mmoja ulioko mpakani wa Jendouba. Wanajeshi sita waliuawa na watatu kujeruhiwa katika shambulio hilo la kigaidi.