-
Alkhamisi tarehe 5 Julai 2018
Jul 04, 2018 22:12Leo ni Alkhamisi tarehe 21 Shawwal 1439 Hijria sawa na 5 Julai 2018.
-
Algeria yapinga mpango wa Ulaya kuhusu wahajiri haramu
Jul 01, 2018 09:15Waziri Mkuu wa Algeria ametangaza kuwa, nchi yake inapinga mpango wa Umoja wa Ulaya wa kuanzisha kambi za wahajiri haramu nchini humo.
-
UN yapongeza nafasi ya Algeria katika mapambano dhidi ya ugaidi
Jun 26, 2018 22:19Umoja wa Mataifa umeipongeza Algeria kwa nafasi yake katika mapambano dhidi ya ugaidi katika nchi za eneo la Sahel na magharibi mwa Afrika.
-
Taasisi za kidini Algeria zapongeza fatuwa ya Ayatullah Khamenei kuhusu masahaba wa Mtume (saw)
Jun 26, 2018 21:43Baraza Kuu la Kiislamu la Algeria limepongeza fatuwa iliyotolewa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Ali Khamenei inayoharamisha kuwavunjia heshima masahaba wa Mtume (saw) na ulazima wa kulinda heshima ya wake wa mtukufu huyo.
-
Algeria yalaani jinai za Israel huko Palestina na uungaji mkono wa Marekani
Jun 21, 2018 23:33Waziri Mkuu wa Algeria amesema Algiers inapinga vikali jinai na mauaji yanayoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel huko Palestina licha ya uungaji mkono wa Marekani kwa utawala huo.
-
Jumanne, Juni 19, 2018
Jun 18, 2018 21:50Leo ni Jumanne tarehe 5 Mfunguo Mosi Shawwal 1439 Hijria sawa na 19 Juni, 2018 Milaadia.
-
Tahadhari kuhusu njama zinazofanyika dhidi ya Uislamu na Iran
Jun 13, 2018 21:55Mwanafikra na kiongozi wa ngazi za juu wa kidini nchini Algeria ametahadharisha kuhusu njama zinazofanywa dhidi ya Uislamu na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Akthari ya Walgeria wanataka nchi yao ijitoe kwenye Jumuiya ya Nchi za Kiarabu
Jun 03, 2018 23:43Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa nchini Algeria yanaonyesha kuwa akthari ya raia wa nchi hiyo wanataka nchi yao ijiondoe kwenye Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League).
-
Morocco yaelekeza tuhuma zake kwa Algeria kwamba inaiunga mkono Polisario
May 22, 2018 09:23Kwa mara nyingine serikali ya Morocco kupitia Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo imeinyooshea kidole cha lawama serikali ya Algeria kwamba inaiunga mkono harakati ya Polisario, hasa katika kuendesha maneva ya kijeshi na wapiganaji wa harakati hiyo katika eneo Sahara Magharibi.
-
Ijumaa, Mei 18, 2018
May 17, 2018 22:09Leo ni Ijumaa, tarehe Pili Ramadhani mwaka 1439 Hijria, inayosadifiana na tarehe 18 Mei, mwaka 2018 Miladia.