-
Msomi wa Algeria: Uwahabi ndicho chanzo cha uharibifu wa fikra katika nchi za Kiislamu
Apr 24, 2018 03:24Mkuu wa Baraza Kuu la Kiislamu nchini Algeria amesema kuwa, makundi ya Kisalafi ndicho chanzo cha uharibifu wa kifikra katika nchi za Kiislamu ikiwemo Algeria.
-
Jumapili, Aprili 22, 2018
Apr 21, 2018 23:42Leo ni Jumapili tarehe tano Sha'abn 1439, Hijria sawa na tarehe 22 Aprili, 2018, Miladia.
-
Watu 257 wapoteza maisha katika ajali ya ndege nchini Algeria + Video
Apr 11, 2018 09:18Televisheni ya serikali ya Algeria imetangaza kuwa, watu wasiopungua 257 wamepoteza maisha baada ya ndege ya kijeshi kuanguka katika uwanja wa ndege wa Boufarik, nje ya mji mkuu wa nchi hiyo, Algiers.
-
Rais wa Algeria ajitokeza hadharani baada ya miaka mingi
Apr 10, 2018 12:07Rais Abdelazizi Bouteflika wa Algeria amejitokeza hadharani baada ya miaka mingi kutoonekana kadamnasi kutokana na hali yake mbaya ya kiafya.
-
Mwanasiasa mkubwa wa Algeria: Ni haki ya Wayemen kuwashambulia wavamizi kwa makombora
Mar 31, 2018 02:50Louisa Hanoune, mwanasiasa mkongwe na Katibu Mkuu wa Chama cha Leba nchini Algeria sambamba na kulaani mashambulizi ya muungano vamizi wa Wasaudia nchini Yemen na mauaji makubwa yanayofanywa na wavamizi hao dhidi ya raia wa taifa hilo masikini, amesema kuwa ni haki ya Wayemen kujibu hujuma hizo kwa kutumia makombora yao.
-
Algeria imewarejesha nyumbani wahajiri elfu 27 wa Kiafrika
Mar 23, 2018 02:49Serikali ya Algeria imewarejesha katika nchi zao makumi ya maelfu ya wahajiri wa Kiafrika waliokuwa wamemiminika katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Jumapili 18 Mach
Mar 17, 2018 23:05Leo ni Jumapili tarehe 29 Jamadi th-Thani 1439 Hijiria, mwafaka na tarehe 18 Machi 2018, Miladia.
-
Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika atembelea Algeria
Mar 11, 2018 12:50Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika yuko Algiers, mji mkuu wa Algeria kwa ajili ya kufanya mazungumzo na viongozi wa nchi hiyo kuhusu masuala ya bara la Afrika.
-
Morocco kuimarisha ulinzi mipakani kukabiliana na magendo ya binadamu na ugaidi
Feb 18, 2018 12:26Vyombo vya habari vya nchini Morocco vimetangaza kuwa, Rabat ina nia ya kuanzisha vituo 10 vipya vya kusimamia na kudhibiti maeneo ya mpakani mwa nchi hiyo na Algeria.
-
Ijumaa tarehe 9 Februari, 2018
Feb 08, 2018 23:11Leo ni Ijumaa tarehe 22 Jamadil Awwal 1439 Hijria sawa na Februari 9, 2018.